Kubenea anatumika kupotezea issue ya Mo

faster

Member
Jan 3, 2016
93
98
Nadhani something fishy is going on asee ..... hoja zisizo za msingi zinalazimishwa sana si politics hadi bongo movie...... Ila kama tajiri namba moja hapatikani nani atapatikana?? HATUKO SALAMA KABISA
 
Unfortunately kubs ni ndondocha, empty bucket upstairs. ,hatokaa awasahau maishani mwake Halima mdee Na dr Slaa, walimpa maisha Na umiliki hewa wa kile kipeperushi huku mwandishi wa makala za kuinanga govt akiwa Mzee 6 Na Mwanadiplomasia mbombezi ambaye pogba anahangaika kumtamfuta Na issue za NiDA huku kubs jina lake likitumika Tu kwenye byline kwamba yeye ndiye mwandishi wakati huo slaa akiwa mhariri!
Alionekana bogus wakamnawa! Hata sasa lugola anatumika..ila NIDA haikamatiki haishikiki haishtakiki! Kubs hana ubavu WA ku-spin agenda unless Kwa vilaza kama wewe and the company!
Nida anasakwa yuleee anaezifanya siasa za angani skuizi! Kimya kimya! Teh!
 
Aisee muandishi kichwa maji kumbe haha haha
 
Back
Top Bottom