Kuku Weupe Wabakwa hadi Kufa huko Muriet, Jijini Arusha.

Kuku Weupe Wabakwa hadi Kufa huko Muriet, Jijini Arusha.

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
26,541
Reaction score
62,000
Kumeibuka hali ya sintofahamu, huko Muriet jijini Arusha ambapo kwa nyakati tofauti kuku wa rangi nyeupe watano wamebakwa na Binadamu na kupelekea viumbe hao kupoteza uhai.

Diwani wa kata ya Muriet, amethibitisha kutokea kwa vitendo hivyo katika kata yake, huku wananchi wa Muriet wakihusisha vitendo hivyo na imani za kishirikina.

My take:
Wanaume wa mikoani mnatuaibisha sana, nitumie nafasi hii nitoe kwa wananchi wote waliopoteza kuku wao kwa upuuzi huo.

Source:
Amplifaya ya Clouds Fm
 
Hivi dudu inaweza kupita pale kwa kuku kweli, mbona tunadanganyana ?
 
Watu wanaroho mbaya watu mabandidu wanakula hadi mbunye za kuku.
.
Ata hivyo mleta uzi sahihisha maneno hawajabakwa huo ni utamaduni wa kuku jogoo huwa atongozi
 
Back
Top Bottom