Ushauri wa bure kwa ATCL

Ushauri wa bure kwa ATCL

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,027
Kwanza nipongeze juhudi za Mzee Baba kwa kulifufua hili shirika!
Pili,ushauri wangu ni kuwa kama inawezekana mufanye jambo la kitofauti kwa upande wa wahudumu wa ndege(air hostess).

Tumezoea kuona kama sio kuiga kuwa mhudumu wa ndege ni lazima awe mdada fulani mwembamba mweupe na mrembo, mimi nawashauri mtoke kitofauti, kumbuka hizi ndege kwa kiasi kikubwa zinahudumia waafrika na si unajua sisi wanaume wa kibantu nini tunapenda kuona toka kwa wadada wetu wa kibantu,

Wekeni wadada wenye shepu za kibantu bana tena ikiwezekana wekeni wale watoto wakali "mablack biuty" wenye fizi nyeusi na meno meupee akitoa tabasamu linakuwa mujarab kabisa, hakyanani nawaambia hii italeta italeta impact kubwa sana kwny biashara na italeta utofauti kwny tasnia hii ya usafiri wa anga! "inglish figa" waachieni British Airways

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fizi nyeusi???
Unataka tukipanda hizo ndege na watoto wetu waanze kuweweseka usiku?
 
Fizi nyeusi???
Unataka tukipanda hizo ndege na watoto wetu waanze kuweweseka usiku?
We jamaa hujakutana na watoto wazuri wenye fizi nyeusi,meno yamepangika halafu meupee! Ninaposema nyeusi simaanishi km kiwi la hasha! Km tunavosema mtu mweupe hatumaanishi weupe wa karatasi! Najua umenielewa mtu mzma weye!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa hujakutana na watoto wazuri wenye fizi nyeusi,meno yamepangika halafu meupee! Ninaposema nyeusi simaanishi km kiwi la hasha! Km tunavosema mtu mweupe hatumaanishi weupe wa karatasi! Najua umenielewa mtu mzma weye!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa Mkuu Si kama yule binti flani alikua miss flani mwaka juzi kama sikosei!
Anaitwa Diana nani sijui!
 
Kwanza nipongeze juhudi za Mzee Baba kwa kulifufua hili shirika!
Pili,ushauri wangu ni kuwa kama inawezekana mufanye jambo la kitofauti kwa upande wa wahudumu wa ndege(air hostess).

Tumezoea kuona kama sio kuiga kuwa mhudumu wa ndege ni lazima awe mdada fulani mwembamba mweupe na mrembo, mimi nawashauri mtoke kitofauti, kumbuka hizi ndege kwa kiasi kikubwa zinahudumia waafrika na si unajua sisi wanaume wa kibantu nini tunapenda kuona toka kwa wadada wetu wa kibantu,

Wekeni wadada wenye shepu za kibantu bana tena ikiwezekana wekeni wale watoto wakali "mablack biuty" wenye fizi nyeusi na meno meupee akitoa tabasamu linakuwa mujarab kabisa, hakyanani nawaambia hii italeta italeta impact kubwa sana kwny biashara na italeta utofauti kwny tasnia hii ya usafiri wa anga! "inglish figa" waachieni British Airways

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona tayari wameshawaweka? Hawa hapa mkuu ila kuna watu wanawacheka na kuwadharau ndio Zito akawatetea!
36996340_2164970090454311_6588077943384178688_n.jpg

40126133_10215114635452298_4115932606468456448_n.jpg

40126086_2148414165169443_5045801298159468544_n.jpg

Zitto Awakingia Kifua Wahudumu wa ATCL..... Awatolea Povu Wanaouponda Muonekano Wao

Zitto ‘Si uungwana kuwacheka, kama hamuwataki msipande Dreamliner’

Kumekuwa na kejeli katika mitandao ya kijamii juu ya muonekano wa Wahudumu wa Shirika la ndege la Tanzania kitu ambacho hakijamfurahisha Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe.

Zitto kupitia Facebook akaunti yake ameandika hivi na nukuu “‪Dada zetu wanaofanya kazi Shirika letu la ndege wamekuwa wakifanywa kichekesho mtandaoni. Hawa ni Wanawake Watanzania wenzetu wapo kazini. Kusambaza picha zao na kuwacheka sio uungwana na ni ukandamizwaji kijinsia.”

“Sijapenda na naomba Watanzania wenzangu tuache. Tujivunie vyetu ikiwemo raia wetu kama hawa. Kama unawapenda waethiopia au Wakenya kwenye ndege zao, hamia huko. Kuwasakama dada zetu wanaofanya kazi ATCL ni umazwazwa. Tumepewa na Mungu hawa, tuwape moyo.” Zitto Kabwe
safe_image.php
 
Hii ni bizness mkuu, muonekano mzuri wa wahudumu huvutia wateja pia pamoja na mambo mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wa wanawake hao unasaidia vipi kuongeza wingi wa Wateja? So kwenye business ndio lazima uweke wanawake warembo?

Hizo kazi unataka kuniambia ni Kama za MA barmaids?

Kwa mentality Hiyo uliyojijengea mkuu Uko tayari mkeo Au mwanao wa kike afanye kazi hiyo?

Angalia Ethiopian Airlines utaelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom