Kiukweli kama wangechelewa tungewakamata

Emmaloy

JF-Expert Member
May 14, 2017
214
226
Nimeisikiliza hii kauli ya IGP imeniachia maswali mengi bila majibu. Kama imefikia pahala mpaka tunafikiria ulinzi wa raia na mali zao kwa njia ya kuviziana basi tuna safari kubwa sana ya kuifikia nchi ya ahadi.
 
Back
Top Bottom