Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watu wengi wanapenda sana kuelezea matukio kwa kuwanyoshea vidole wengine , Je haiwezi kutokea kuwa Familia ikawa imelipa Ramson kimyakimya kadiri watekaji walivyotaka ili ndugu yao aachiwe huru...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Huo ndio utabiri wangu. Kama kuna yeyote anajua nyimbo zilizo wahi kopiwa na kupestiwa azitaje bila kutaja muhusika aliye kopi hiyo nyimbo.
0 Reactions
3 Replies
898 Views
Wana nzengo naomba kujuzwa hivi eneo alipotekewa na alipopatikana MO je kuna pagala ama msitu mnene Kiasi cha kuweza kujificha wao watekaji "pamoja" na hiyo gari Kiasi cha kuwafanya wasionekane...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
kulikuwa na taarifa mbali mbali zikisambaa kwamba Asipopatikana mpaka tarehe 20 basi shughuri na viwanda vyote vilivyokuwa chini yake vitafungwa lakini taarifa hii ilikanwa na ndugu zake kwamba ni...
8 Reactions
38 Replies
6K Views
Hii kata kata ya umeme kila siku kila saa mna mpango gani? Kama ni kuunguza vifaa tushaunguza mna agenda gani? Kateni hata week sio kata rudisha mnatutia hasara.
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wananchi wakataa kujengewa kituo cha polisi Mbeya wakihofia vipigo
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania leo kila mmoja wetu afanye maombi maalumu. Akili zetu zimenasa kwenye udongo mfinyanzi. Tuombe Mungu atunasue. Bodaboda Daladala Rambirambi Takataka Pikipiki Mbalimbali...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
samahani wadau naomba kwa anaejua namna ya kuconfirm ifm nimetumiwa code lakini pa kuitumia cjaona plz naomba kwa anaejua anisaidie nimebakiwa na kesho 2
0 Reactions
2 Replies
763 Views
Habari ya weekend wanandugu,natumaini mko salama kabisa huku tukifurahia kurejeshwa kwa MO wetu. Mwenzenu tangu niachane na demu wangu mwaka jana mwezi wakumi ambaye nilitegemea pia angekuja kuwa...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Katika ' Assignment ' yangu ya Somo la Hesabu hasa katika ' Topiki ' yetu mpya iitwayo ' Nine Days Equation and Percentage of a Kidnapped Country Tycoon ' nimejitahidi ' Kukokotoa ' zangu na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari. Muda huu ajali imetokea maeneo ya uyole njia panda stendi, watu kazaa wamefariki hapo hapo na majeruhi. Updates. Ajali imehusisha lori aina ya tipa, daladala aina ya Rosa na Toyota...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari, nimeona nishee hii hadithi nilosimuliwa na Rafiki yangu, Anasema; Nilikuwa na rafiki yangu anaitwa Ayubu Fadhili ambaye tulisoma shule moja darasa moja katika shule ya sekondari Manka...
4 Reactions
27 Replies
6K Views
Tutamlaum Mourinho weee but nimeangalia 1st eleven ya leo sijaona anayeweza kuingia kwenye team yoyote katika top six na akacheza hayupo hata mmoja Hata Pogba hawezi
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenyezi Mungu / Allah Kwa kuweza kutupa Watanzania wengi ‘ akili ‘ nyingi na kubwa kuliko za wale ambao ama ‘ Wanatutawala ‘ au ‘ Wanatuongoza ‘ japo Wao wanadhani wanaongoza ‘ Matahaira ‘ au ‘...
14 Reactions
21 Replies
3K Views
Amehamishiwa Makao Makuu na kuwa kamishna wa kitengo cha makosa dhidi ya binadamu. ---- Mkuu wa Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo kwenye jeshi hilo na kumuondoa Kamanda...
10 Reactions
157 Replies
27K Views
Chelsea tumefungwa moja sawa ila huyu refa na wasi wasi nae atakua ana ushabiki na timu oliopo chin yetu ndo maana akatufanyia makusudi watufikie sa kwa taarfa yao hawatufikii na ubingwa wa epl ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wikiend ya leo safi kabisa, baada ya yote ni uwanjani Chelsea vs Man United.Wazee wa kubeti mnamuua nani hapo?
0 Reactions
1 Replies
657 Views
''Kumrudisha Mo na kutelekeza gari hili sio mwisho, Jeshi la polisi linaendelea na upelelezi, ninafahamu kati yao kuna mtanzania na tunataka tukiwapata tuongee lugha nzuri kuwa walikuwa wanataka...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
One definition of insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results. NB: Akumulikaye kwa tochi mchana usiku anakuuwa. MUNGU ni mwema kwa watu wake.
1 Reactions
2 Replies
703 Views
Wapo viongozi wanaoonekana ndio machachari mfano G.Lema ,na pind tkiwapa nchi ndio wanatarajiwa kushika nafasi za juu ikiwemo uwaziri nk,wanaonyesha kulialia na kushauri nchi kuomba msaada kwenye...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom