Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,404
Tunapokaribia kumaliza mwaka 2016 kuna threads nyingi zilitoka ambazo zilitoa Habari, Zilielimisha, Ziliburudisha na Kuchekesha. Kwa upande wako ni thread ipi ilikuvutia kwa mwaka 2016 na sababu ipi ulivutiwa nayo? Binafsi nilipendezwa na nyingi lakini michango ya watu kwenye uzi uliokuwa unazungumzia tetemeko la Ardhi lililotokea katika mji wa Kumamoto nchini Japani ilinichekesha sana, aidha nilijifunza mengi kwenye uzi uliokuwa unazungumzia uwezo wa Ujasusi wa Mossad.
Wewe ulivutiwa zaidi na zipi?
Wewe ulivutiwa zaidi na zipi?