Hii ndoto naomba isiwe ya kweli

Hii ndoto naomba isiwe ya kweli

thA goD

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
1,943
Reaction score
1,858
Habar,tukio la kutekwa kwa MO huenda likawa limefanywa kwa ustadi mkubwa sana ili kuteka akili za wananchi lakini watekaji wakiwa kwenye maandalizi ya tukio moja kubwa na la kutisha game iwe ova.
Mungu tusaidie wanyonge sisi hususani mimi amabaye sidhani kama siku yakinikuta yakunikuta Zito atapaza sauti yake ili niachiliwe huru.

Wakati namaliza ndoto hii yenye maudhui ya kutisha natafakari kurudi kwa MO,yani wamemteka Gym wanamrudihia Gymkana, kampuni ya Metl kuwa na tetesi ya kufunga ofisi zake tar20 basi tarehe hiyo MO anarudi.

Nikisema yote nitaibua hisia ziletazo chuki hasa kwa wale wachukiao ukweli.
Tuweni wajinga ila ujinga huu una mwisho tukumbuke
NB: Truth is the treason in the empire of lies.
 
Kuwa makini siku nyingine ukiota ndoto zenye "kaukweli" usimuhadithie hata mama watoto maana kuna "wale Jamaa" wasije wakakuben saa kumi"

Nyie ndo mnatafutwa na siro.mko KWENYE kiyoyoz mnawaza vitu vya kusadikkka
 
Endelea kuota jamaa uje na mengi kutoka kwenye ndoto yako
 
Ulifeli sana mitihani ya kujieleza pindi unasoma wewe..
 
Back
Top Bottom