JAMHURI
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 449
- 60
Leo tarehe 20.10.2018
Naibu Waziri wa Nchi TAMISEMI Mh. Joseph Kakunda, amefungua majengo ya maabara ya Computer na Maktaba katika shule ya Sekondari Emboreet Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara na kuweka jiwe la msingi la Nyumba ya walezi Wa wanafunzi ya two in one hapo shuleni.
Amefanya hayo kwaniaba ya Waziri Wa nchi ofisi ya Rais -TAMISEMI Mh. Seleman Jafo
Majengo hayo yamejengwa na Shirika la ECLAT FOUNDATION la wilayani Simanjiro kwa Ushirikiano na UPENDO FOUNDATION la Ujerumani