Wadau...mwenye uelewa wa kwann chainsaw inazuiliwa kuvuna mbao ktk misitu ya tz hasa mikoa ya kusini mwa tz...na wanatakiwa watumie nyenzo gani? Nilifikiri chainsaw inawapunguzia ugumu wa kazi...
Ukiwa Tajiri au influential person kuna aina ya maisha unapaswa kuishi na kuna vitu hupasi kufanya kama mimi mwananchi mnyonge wa manzese kwa mfuga mbwa au wa mwananyamala kisiwani
Mh huyu...
Watanzania wote hata kama itakuwa kidogo, lakini something is better than nothing, utaishi ndani ya mioyo ya wananchi kama shujaa wao. Itoe kwa mpangilio wa makundi.
1. Wafanyakazi serikalini na...
Katika mipango ambayo ni pasua kichwa kwa sasa, ni huu mpango mpya wa lukuvi wa kurasimisha makazi kwa makazi holela.
Ipo nia njema kabisa ya mh. Lukuvi kuanzisha utaratibu huu lakini utekelezaji...
Nipo serious kwa yeyote atakayenielekeza nitamtumia taslimu 10,000 nahitaji habari nyingine hizi za MO naona kichwa changu ni kidogo hakizielewi.
Najua pia BAN itasaidia ila mods msinifanyie hivyo...
Kwa yeyote mwenye kujua jinsi ya kununua hisa kwenye haya makampuni ya michezo ya kubahatisha apa nchini tafadhali karibu sana unipe maelekezo ya nini cha kufanya na vigezo pamoja na masharti...
Kampuni ya kusindika pombe ya Kiasili Darbrew maarufu kama Chibuku iliyopo Ubungo imesitisha uzalishaji wa pombe hiyo tangu mwezi huu kutokana na gharama za uzalishaji kuwa juu na soko kudorora...
Habari ndugu zangu, Kama Kichwa cha habari Kisemavyo, Nataka kununua Diamond Ring, Ila Nahofia Kukutana Na Wapigaji, Naomba Muongozo Ili niweze Kupata Jiwe Nzuri, Budget yangu ni Tsh Mil 2.
Wakuu kuna tetesi zilianza kusambaa kwamba kufuatia sakata la kutekwa kwa bilionea Mohamed Dewji, kuna mabadiliko ya nafasi za baadhi ya viongozi wa jeshi la polisi nchini ambapo Kamanda wa Polisi...
Kutekwa na watu wasiojulikana ni hatari na kitendo kinachoogofya sana. Unaendesha gari mara paaapu unaona watu wanakusimamisha mbele barabarani katikati ya pori au tu sehemu yoyote tulivu iliyo...
Wakuu kama ilivyo kawaida, Forbes wamekuwa wakitoa takwimu za watu matajiri nchi mbali mbali ikiwemo Tanzania.
Lakini Forbes hao sijiwahi sikia wanatoa takwimu za watu maskini kabisa Tanzania...
Wakuu kama ilivyo kawaida, Forbes wamekuwa wakitoa takwimu za watu matajiri nchi mbali mbali ikiwemo Tanzania.
Lakini Forbes hao sijiwahi sikia wanatoa takwimu za watu maskini kabisa Tanzania...
Mkuu wa wilaya ya Karatu Theresia Muhongo amesema ipo haja kwa kila shule kujenga vyoo maalumu kwa ajili ya matumizi ya mtoto wa kike.
Akiongea katika hafla ya changizo la kupata taulo za kike...
Nimejifunza duniani kuna aina mbili ya watu kwenye hali za uchumi; kuna wale wanaouliza bei ya bidhaa au huduma kabla hawajanunua na wale ambao wanachukua bidhaa au kutumia huduma wakiwa na na...
....kwa wenzetu mambo fulani ya kina Mshana Jr yanaendelea. Jisomee hapa
BBC News | New York witches place hex on Brett Kavanaugh -
Ikigoma kufunguka Google "NewYork witches place hex on Brett"