Unanunua kifurushi Cha 18000 unapewa Chanel za kipuuzi tu.. Hats Ukisema basi niangalie move utakutana na move zilezile tatu, man in black, Jurassic Park na ile raid anauliwa...
Dah mnatutesa na...
Msimu huu bei ya korosho imeendelea kupaa hadi kufikia sh. 4010 katika mnada wa jana huko Tunduru. Tukipata fedha hizi tujitahidi kujiwekea akiba kidogo.
Nawasilisha.
Hivi mnaaangalia vigezo gani kufuta uzi, hamtaki tuwakosoe?
Me nilidhani mnajielewa et...!!!??
Kichwakichafuuu.... wamefuta uzi wangu bhanaa...
Hamna kitu hawa jamaa...
Sasa ngoja nitaje zile ID...
Na BBC Swahili
MV Nyerere: Familia yangu iliandaa mazishi yangu
Jina la Injinia Augustine Cherehani lilianza kuvuma katika vyombo vya habari vya ndani na nje ya Tanzania siku tatu baada ya...
Mwandishi na mwenye kisa cha wimbo huu anaitwa Horatio Spafford na aliishi miaka 60 kati ya mwaka 1828 hadi 1888.
Mtunzi wa wimbo yaani aliyetafutia vokali/sauti anaitwa Phillip Bliss lakini...
Chama cha wafanyabiashara wa Madini nchini TAMIDA, kwa kushirikiana na taasisi ya Mgunduzi wa Madini ya Tanzanite ya Founder Foundation wameanza maandalizi ya kumuenzi mwasisi wa Madini ya...
Tamko la Mo kupotea lilileta tafrani kubwa kwa wazungu waishio DSM.
Tamko lile lilitolewa likiwa very specific, utekaji ulihusisha wazungu wawili, tena wakizungumza lugha isiyo ya kawaida.
Tamko...
Wapendwa
kwa kuwa wakati wa kujiandikisha vitambulisho vya taifa tumeandika namba za simu, napendekeza wananchi watumiwe SMS mara vinapokuwa tayari kwenye maeneo yao/kata zao.
Hii italeta ufanisi...
HATIMAYE changamoto ya usafiri katika Jiji la Dar es Salaam imepatiwa suluhu baada ya kujitokeza kwa mwekezaji mwingine katika mradi wa mabasi yaendayo haraka, maarufu mwendokasi.
Mwekezaji mpya...
Mwandishi: Kamanda, zaidi ya Mo bado kuna Ben Saanane, Azory Gwanda, Alfonse Mawazo, Simon Kanguye, Godfrey Luena, Daniel John na wengine wengi waliotekwa, kupotea ama kuuliwa na wasiojulikana...
1.Utekaji uliozoeleka ambao ni "basic kidnapping"
Hii inachukuliwa kuwa aina ya awali kabisa ya utekaji nyara na inaweza kufanyika kwa karibu sehemu zote za dunia na kwa maandalizi kidogo sana...
Wakuu naimani mu wazima wa afya tele,sasa kuna kitu kinanikoroga muda mrefu.Ni kwamba Mara ya mwisho kumuona ndugu #jiwe jijini au mkoani Mbeya ni wakati wa kampeni za mwaka 2015,tena alipita kwa...
Nakumbuka tweet ya Mo ya tarehe 26 July 2018 baada ya mtanzania mwenzetu kuomba msaada ya gharama za matibabu kule KCMC
'Nampongeza kila mmoja hapa Twitter kwa mchango wake alioutoa jana...
-MeTL Group watangaza zawadi nono kwa atakayefanikishwa kukamatwa kwake
KAMPUNI YA MOHAMMED ENTERPRISES TANZANIA LIMITED (MeTL) Makao Makuu inatangaza kwa umma wa watanzania kwamba Meneja wa MeTL...
Watu tofauti hutafsiri kuwa mtoto ni baraka,wengine husema mtoto ni bahati,mtoto hana hatia nk.
Na pia maandiko matakatifu(bible) yanasema kwamba "waacheni watoto wadogo waje kwangu .......... "...
Kwa hali ya sasa naona dada zetu wanaelekea pabaya, wadada wote ndani ya Bongo wanataka au washakuwa weupe wa rangi kuna jirani yetu tulikuwa tuna muita cheusi dawa ila sasa hivi kawa kama...
Katika haki isiyo ya kawaida ninapotaka kununua umeme kutoka kwa mawakala ninalazimika kumhonga kiasi cha fedha kulingana na kiasi cha fedha ya kununulia umeme! Mimi hununua wa shs.elfusitini...
"Nikawaagiza wakati ule waamuzi wenu, nikawaambia, Sikizeni ninyi maneno kati ya ndugu zenu, mkaamue kwa haki kati ya mtu na nduguye, na mgeni aliye pamoja naye".
"Msitazame nafsi za watu katika...