KUNA VIUMBE WAPO HATARINI KUPOTEA AFRICA..

KUNA VIUMBE WAPO HATARINI KUPOTEA AFRICA..

exit

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
1,670
Reaction score
1,812
Kwa hali ya sasa naona dada zetu wanaelekea pabaya, wadada wote ndani ya Bongo wanataka au washakuwa weupe wa rangi kuna jirani yetu tulikuwa tuna muita cheusi dawa ila sasa hivi kawa kama muhindi, pia yule cheusi dawa wa shuleni amekuwa mzungu sasa hivi. Kwakweli hali ni mbaya huko tuelekeapo weusi watakuwa bidhaa adimu kuipata.
 
Afrika?!! We sema hapo daslama. Mabinti weusi wapo wengi tu. We itakuwa hujui sehemu za kuwapata.
 
Wanaume ndo tulaumiwe maana wengi wetu tunapendelea akina cheupe dawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom