Kutengwa kwa Mbeya na mikoa mingine ya nchi kuna siku watajuta

Nedago

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
908
1,348
Wakuu naimani mu wazima wa afya tele,sasa kuna kitu kinanikoroga muda mrefu.Ni kwamba Mara ya mwisho kumuona ndugu #jiwe jijini au mkoani Mbeya ni wakati wa kampeni za mwaka 2015,tena alipita kwa spidi kali maeneo niliyokuwepo,na hadi leo nimekuwa nashindwa kujua atakuja lini angalau aseme chochote live na sisi,kuna ratiba ya ziara ilitoka,kuwa akitoka usukumani kule,atapita kigoma then aingie katavi,rukwa na hatimaye aje apa Mbeya,nilifurahi Sana nilipoisikia ratiba ile lakini hakuja,akala kona akapotelea sijui kigoma hatasielewi,tukasikia yupo Dar kuzindua daraja la tazara,kwaio ikamaanisha kuzindua daraja ndio kwa muhimu Sana kwake kuliko wananchi wa katavi,rukwa na Mbeya?.na hadi leo aijulikani Kama atakuja au haji,maana tunamuitaji Sana uku aje aseme lolote juu ya ahadi zake alizoaidi kwenye kampeni ikibidi atoe oda ya utekelezaji maana Mbeya iko nyuma Sana katika miundombinu hasa roads.

Kama kuna kitu kibaya wanambeya tulimfanyia wakati wa kampeni aje tuyamalize,maana naona Kama ana hasira na mbeya,japo huwa anasema maendeleo hayana chama,lakini naona hamaanishi anachosema,mbona haji Kama sio visa tu,wakati sehemu zingine ni za wapinzani lakini kaenda zaidi ya Mara 2 na usukumani ndio anapata muda zaidi kuliko uku,wakati huku ni karibu kuliko kule anakopenda Kwenda.

Na si Mara ya kwanza viongozi kuitenga mbeya kwa namna Zote,yani tunatumia nguvu zetu tuu kujenga mji na si serikali wao wanajibalaguza tu na kuchukua kodi zetu ipo siku wasipobadilika watakuja kujuta maana hawavijui vichwa vya mbeya,nadhani hata maeneo mengine Kama Katavi,rukwa,njombe na hata mtwara wanachoka Sasa,kodi tulipe sisi watumie wachache,THIS IS NOT FEAR,ni Dar, Mwanza,Arusha na dom nw,na ili kutuzima anadai Mbeya imekuwa ya mwisho kukusanya mapato,TOTALLY UNTRUE,waache waendelee kututenga,ila wssijisahau kuwa tunawaza Yetu,wataanza kuja Mbeya kwa viza one day,call it a day.
 
hata akija atawaambia nn hana cha maana alikuja arusha kupandisha watu vyeo kaongea kwa kejeli uwanjani siku ya kuondoka ikabidi akubaliane na ubunge wa vijana lema na nasari kila mtu apambane kivyake after raw akija mbeya akuletei chakula wala pesa
 
Kwan barabara hazijengwi huko? miradi ya maji haipo? miradi ya umeme vijinini haipo? wafanyakazi wazinguaji hawawajibishwi...vip dawa haziji...na je dispensary hazijengwi...wafanyakazi wapya hawaletwi....Mambo ya kutokuja huko ni personal issue wala haihusiani na kuwabagua kivile ingekuwa hvo Arusha ingeongoza.... Jiwe atapita lakn Mbeya itabaki pale pale istoshe akitembelea huwa analeta taabu tuu..watu tunakimbizana huku na kule...utulivu hakuna..nashangaa unamlilia kweli kweli na takuja soon
 
Mbeya si ndo JK alipigwa mawe? Si rahisi sana kuja kichwa kichwa,Maeneo kama Tunduma Mkoa wa Songwe watu hawaogopi kitu,ila ni vizuri angeenda maana Mwanza ameenda zaidi ya mara 10,ila Nyanda za juu vice president na prime minister ndo walipita
 
hata akija atawaambia nn hana cha maana alikuja arusha kupandisha watu vyeo kaongea kwa kejeli uwanjani siku ya kuondoka ikabidi akubaliane na ubunge wa vijana lema na nasari kila mtu apambane kivyake after raw akija mbeya akuletei chakula wala pesa
Aisee hatuitaji chakula chake maana hata anachokula tunalima sisi ko tunacho hadi kinabaki uku,tunachotaka ni tuone kodi tunayolipa ikitumika ipasavyo uku kwetu sio kuwanufaisha Wengine tu.
 
Wakuu naimani mu wazima wa afya tele,sasa kuna kitu kinanikoroga muda mrefu.Ni kwamba Mara ya mwisho kumuona ndugu #jiwe jijini au mkoani Mbeya ni wakati wa kampeni za mwaka 2015,tena alipita kwa spidi kali maeneo niliyokuwepo,na hadi leo nimekuwa nashindwa kujua atakuja lini angalau aseme chochote live na sisi,kuna ratiba ya ziara ilitoka,kuwa akitoka usukumani kule,atapita kigoma then aingie katavi,rukwa na hatimaye aje apa Mbeya,nilifurahi Sana nilipoisikia ratiba ile lakini hakuja,akala kona akapotelea sijui kigoma hatasielewi,tukasikia yupo dar kuzindua daraja la tazara,kwaio ikamaanisha kuzindua daraja ndio kwa muhimu Sana kwake kuliko wananchi wa katavi,rukwa na Mbeya?.na hadi leo aijulikani Kama atakuja au haji,maana tunamuitaji Sana uku aje aseme lolote juu ya ahadi zake alizoaidi kwenye kampeni ikibidi atoe oda ya utekelezaji maana Mbeya iko nyuma Sana katika miundombinu hasa roads.kama kuna kitu kibaya wanambeya tulimfanyia wakati wa kampeni aje tuyamalize,maana naona Kama ana hasira na mbeya,japo huwa anasema maendeleo hayana chama,lakini naona hamaanishi anachosema,mbona haji Kama sio visa tu,wakati sehemu zingine ni za wapinzani lakini kaenda zaidi ya Mara 2 na usukumani ndio anapata muda zaidi kuliko uku,wakati huku ni karibu kuliko kule anakopenda Kwenda.Na si Mara ya kwanza viongozi kuitenga mbeya kwa namna Zote,yani tunatumia nguvu zetu tuu kujenga mji na si serikali wao wanajibalaguza tu na kuchukua kodi zetu ipo siku wasipobadilika watakuja kujuta maana hawavijui vichwa vya mbeya,nadhani hata maeneo mengine Kama katavi,rukwa,njombe na hata mtwara wanachoka Sasa,kodi tulipe sisi watumie wachache,THIS IS NOT FEAR,ni dar, mwz,arusha na dom nw,na ili kutuzima anadai Mbeya imekuwa ya mwisho kukusanya mapato,TOTALLY UNTRUE,waache waendelee kututenga,ila wssijisahau kuwa tunawaza Yetu,wataanza kuja Mbeya kwa viza one day,call it a day.
,THIS IS NOT FEAR -THIS IS NOT FAIR..
 
Back
Top Bottom