Musa: "Msitazame nafsi za watu katika hukumu"

Musa: "Msitazame nafsi za watu katika hukumu"

Joined
Jul 3, 2018
Posts
76
Reaction score
130
"Nikawaagiza wakati ule waamuzi wenu, nikawaambia, Sikizeni ninyi maneno kati ya ndugu zenu, mkaamue kwa haki kati ya mtu na nduguye, na mgeni aliye pamoja naye".
"Msitazame nafsi za watu katika hukumu; mwasikize wadogo na wakubwa sawasawa; msiche uso wa mtu awaye yote; kwa kuwa hukumu ni ya Mungu; na lile neno liwashindalo mniletee mimi, nami nitalisikiza". Kumb.1:16-17
 
Back
Top Bottom