Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,670
- 22,259
Katika haki isiyo ya kawaida ninapotaka kununua umeme kutoka kwa mawakala ninalazimika kumhonga kiasi cha fedha kulingana na kiasi cha fedha ya kununulia umeme! Mimi hununua wa shs.elfusitini (60,000/=) hivyo mshiko wa wakala shs. Elfumoja na miatano ambazo natoa na sipewi risiti! Na kufanya jumla shs.61,500/= haki hii imejitokeza hivi karibuni. Je, kunanamna ambayo anaweza kununua umeme bila kuhonga kwanza? Hakuna wakala anayeweza kuniuzia bila kitukidogo kwanza.