Mwakyembe, Msemaji wa Serikali, MCT, MOAT na TEF ya akina Balile endeleeni tu ' Kulidekeza ' Gazeti la Tanzanite!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,874
Kama patatokea ' machafuko ' yoyote yale nchini Tanzania basi hili Gazeti la TANZANITE litahusika kwa 100%.

Ni Gazeti la ' Kihuni ' na ambalo 24/7 linaandika tu ' Uhuni ' huku Wahusika wakuu na wenye ' Mamlaka ' wakinyamaza, wakilicheke na hata ' Kulidekeza '

Kama kuna ' Kichocheo ' Kikubwa ambacho kilipekea ' Rwanda Genocide ' ya mwaka 1994 bali ilikuwa ni Redio iliyokuwa ikiitwa RTLM ambayo yenyewe ' Maudhui ' yake makubwa ilikuwa ni ' Kuwachafua ' Watu au Kundi fulani kwa faida ya akina fulani wenye ' Mamlaka ' ila ' Kilivyonuka ' nadhani dunia nzima ilitikisika kama siyo kutetemeka kwa kilichotokea.

Nina uhakika aina ya Uandishi wa Gazeti la TANZANITE ( ambaye Mmiliki wake hata Mkuu wa Mashetani Lucifa ) anaufahamu na analifahamu ungekuwa unaandikwa na Magazeti kama ya Tanzania Daima au MWANANCHI basi nina uhakika kwamba si tu kwamba hayo Magazeti ' yangefungwa ' kimoja bali pengine Waandishi wake yangewakuta ya Marehemu Jamal Khashoggi.

Kuanzia leo nalipa ' Ubatizo ' mpya na wa ' Kutukuka ' hili Gazeti ambapo sasa naliita Gazeti la Kigaidi na linalomilikiwa na Gaidi na hata Waandishi wake wote wa Habari nao ni Magaidi vile vile.

Nimemaliza.

Nawasilisha.
 
Ndugu, Gent, ni kweli yanayoandikwa ma gazeti hili ni mambo ya kishenzi na kutisha huku serikali ikijifanya haioni. Ni ajabu na aibu kwa serikali.
 
169BF9D7-58DD-4C0C-B5DD-0F645A30C00B.jpeg
 
Tanzanite endeleeni kuwaanika watetea mafisadi chadema

Ningeshangaa sana kama ' Uzi ' wangu huu ' usingevamiwa ' na Watu ambao Mimba zao zilitungiwa katika Vyoo vilivyokuwa ' vimefurika ' Mavi hadi ' Pomoni ' na sasa wameshazaliwa wanatuonyesha jinsi gani walivyokuja hapa duniani na ' Upumbavu ' wao uliochanganyikana na Kinyesi Uharo katika ' Ubongo ' wao.
 
Naona leo kakuudhi sana Pole nyingi kwako ila kwa kuwa wanaotuongoza huenda hawalisomi au ndo wao wameyaandika hayo maudhi yalokuudhi, basi "Mezea" yasije kukupata mengine. Bado tunakuhitaji JF
 
Naona leo kakuudhi sana Pole nyingi kwako ila kwa kuwa wanaotuongoza huenda hawalisomi au ndo wao wameyaandika hayo maudhi yalokuudhi, basi "Mezea" yasije kukupata mengine. Bado tunakuhitaji JF

Kama kuna Kitu ambacho ' sikiogopi ' ni ' Kufa ' Mkuu na hakuna Kitu nisichokipenda duniani na katika maisha yangu kama kuwa Mnafiki na Muoga. Nimeumbwa na Mwenyezi Mungu kuwa mkweli na muwazi katika kila Jambo hata kama litanigharimu lolote lile na najua Mwenyezi Mungu atanipigania kwani hili ' ANGALIZO ' ambalo nalitoa hapa ni la KIZALENDO na nimelitoa kwa MASLAHI mapana ya Kizazi cha juzi, jana, sasa na kesho cha Watanzania.

Nasema tena bila Kupepesa macho, Kumung'unya maneno wala Kutikisa masikio kwamba kama kuna Gazeti ambalo linapanda kwa Nguvu zote Mbegu ya Uvunjifu wa Amani, Uchochezi na Chuki baina ya Watanzania basi ni hili la TANZANITE na nawaomba Wahusika ( Mamlaka ) waamke na walidhibiti haraka kabla mambo hayajaharibika kisha tukaanza ' Kutafutana ' Tanzania.

Ni Gazeti la Kigaidi na ambalo linaongozwa na Mtu mwenye Sifa zote ' tukuka ' za Kigaidi.
 
Nakujua weye ni ccm dam dam na najua unajua unalosema kuwa laweza kukufanya ukaonekana na dalili korofi. Kumbuka, Hakuna m ccm yeyote anayekosea kuupondelea mbali upinzani. Hata ka ni kutuonesha ak arobaini na saba zilizotolewa chumbani na miguu ya kuku iliyotolewa vyumbani na tukasema; Majambawazi hayo yaliziacha kwenye gari yakakimbilia kusikojulikana. Japo ni hadithi za kitoto, acha wapinzani wapige ngarara zao sie siku imepita na tukio lake.
Usimdanganye Mwaki apoteze kitumbua chake kwa kufungia kengele za vyama na unapokuta kengele hiyo huenda imepigwa na m/kiti au balozi wa nyumba
 
Back
Top Bottom