ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,280
- 4,236
Mara waga najiuliza maswali yafuatayo kuhusu ufanyaji kazi wa hizi taa
Je izi taa hujicontrol zenyewe automaticall yaani system nzima iko pale pale ilikofungwa taa ama kuna watu wanakuwa control room sehemu fulan ndo wanafanyaizo regulations za muda pale?
Je izi taa zote zinatumia system moja ama kila taa ina system yake tofauti na nyingine na maanisha m:ano taa zote zilizopo apa dar?
Je ni mechanism gani imekuwa installed mule ndani kiasi kwamba zile machine au taa ni nadra kukuta zimekosea hesabu ama timing ya muda (time interval)?
Je taa zote zilizopo apa dar tine intervl yake ni sawa kwa maana ya kwamba mfano muda uliosetiwa kwenye taa za moroco ndo huo umesetiwa kwenye taa za ubungo, mwenge kawe njia panda, posta na kadhalika?
Je izi taa zinatumiaga umeme huu wa kawaida wa tanesco 220 ama huu wa wazungu 110 au zinatumia solar?
Je kwa ulimwengu ulikofikia kitaknolojia hakuna namna zinaweza kuunganishwa katika mfumo mmoja zote wa ufanyaji kazi mfano izi zilizopo apa dar ziwe na control system moja means ziwe zinamuwezesha mtumiaji kuweza kucalculate muda btn point A and B yani nikivuka mwenge basi automaticaly niwe najua kuwa nikitaka kuwahi kuvuka moroco basi nina dakika kadhaa nikiziwahi izi dakika basi nitakuta moroco taa zinaruhusu
Wa upande nitokako ivyo sintokaa foleni?
Kwa mwenye majibu ya maswali haya karibu