Ukiwa na Deni la Mtu unakuwa uncomfortable.

Internal

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
3,579
Reaction score
3,926
Hata akikusalimia badala ya kupokea salama, unakimbilia usijal mambo hayajakaa sawa.
Akiwa anapita maeneo ya nyumbani kwako unamuona kama msumbufu flani ivi, namba mpya ikikupigia hupokei kwa uoga kuwa ni mdeni wako.

Marafiki wa anaekudai unajikuta unawakataa kiaina hata hutaki kuonana nao.

Hujiamini kabsa, hata kama ulikuwa unajikubali kwenye shughuli zako ghafla unakuwa mtu wa kukata tamaa ovyo.

Yani full ukosefu wa amani, furaha inatoweka unajikuta mtu wa wa kuwaza waza tu. Wakati mwingine unawaza mdeni wako afe tu.

Deni lijakufanya ubadili profile ya maisha yako na kuwa mtu wa kukwepa kwepa watu au situation flani.

TakeCare.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂"siri-kali yenyewe inadaiwa sembuse mimi" ndivyo tujifarijivyo wadaiwa...
 
Ndo ukweli huu
FB_IMG_1538413666546.jpeg
 
Hata akikusalimia badala ya kupokea salama, unakimbilia usijal mambo hayajakaa sawa.
Akiwa anapita maeneo ya nyumbani kwako unamuona kama msumbufu flani ivi, namba mpya ikikupigia hupokei kwa uoga kuwa ni mdeni wako.

Marafiki wa anaekudai unajikuta unawakataa kiaina hata hutaki kuonana nao.

Hujiamini kabsa, hata kama ulikuwa unajikubali kwenye shughuli zako ghafla unakuwa mtu wa kukata tamaa ovyo.

Yani full ukosefu wa amani, furaha inatoweka unajikuta mtu wa wa kuwaza waza tu. Wakati mwingine unawaza mdeni wako afe tu.

Deni lijakufanya ubadili profile ya maisha yako na kuwa mtu wa kukwepa kwepa watu au situation flani.

TakeCare.
Akiwa na jamaa wengine,wanapiga stori halafu wakacheka, unahisi wanakucheka wewe

Akikupigia simu akusalimue, unaogopa kupokea unadhani anakumbushia deni

Akisema mbele yako kwamba hali mbaya hana hela, unahisi anakutumia meseji
 
VICOBA NDO MWISHO

Bora udaiwe na taasisi kuliko VICOBA, hawa jamaa n shda maana n watu ktk jamii yako na n kikund ukimkwepa mwenyekit unakutana na katb, ukimkwepa katb unakutana na mhazini, ukiwakwepa hao unakutana na wasaidz wao, ukiwakwepa hao nao unakutana na wanakikundi, yan huna pa kutokea hahaaaaa yaaan nikikumbuka jamaa yangu alivyokua akiish nacheka mpk nakaaa chini, ilikua ikfka ijumaa(siku ya kukutana) n kama imefka siku ya kufa, nje ya hapo wanakikundi wamejaa mtaa mzima, nakumbuka io siku aliniambia 'ndugu yangu kama kungekua kuna barabara za angan hata kwa ungo au chin ya ardhi ningetumia hzo' yaan hapa naandka huku nacheka mwenyewe,
Nikampa sapot kdg nilichoweza, Siku analipa lile deni aliniita kufanya hafla ya kujipongeza,
Ila leo hiii anamaisha mazur kbsa,
Ngoja nicopy na kupaste huu uzi nimtumie nimkumbushe.
 
Akiwa na jamaa wengine,wanapiga stori halafu wakacheka, unahisi wanakucheka wewe

Akikupigia simu akusalimue, unaogopa kupokea unadhani anakumbushia deni

Akisema mbele yako kwamba hali mbaya hana hela, unahisi anakutumia meseji
Yani ile furaha amani yako ni kama umeazima na uliemuazima hataki kukurudishia untill ulipe Deni.
 
Hata akikusalimia badala ya kupokea salama, unakimbilia usijal mambo hayajakaa sawa.
Akiwa anapita maeneo ya nyumbani kwako unamuona kama msumbufu flani ivi, namba mpya ikikupigia hupokei kwa uoga kuwa ni mdeni wako.

Marafiki wa anaekudai unajikuta unawakataa kiaina hata hutaki kuonana nao.

Hujiamini kabsa, hata kama ulikuwa unajikubali kwenye shughuli zako ghafla unakuwa mtu wa kukata tamaa ovyo.

Yani full ukosefu wa amani, furaha inatoweka unajikuta mtu wa wa kuwaza waza tu. Wakati mwingine unawaza mdeni wako afe tu.

Deni lijakufanya ubadili profile ya maisha yako na kuwa mtu wa kukwepa kwepa watu au situation flani.

TakeCare.
lazima iyoooo
 
Huu ndiyo ukweli kukopa ninjambo la kawaida na sio kila mdeni anapenda kukaa na hela ya mtu,unakuta matarajio yanagonga mwamba tatizo la madeni huwezi kuwa huru
 
Pia ni lazima uwe na mikakati ukitaka kukukopa sio unakopa bila mpango tumia njia zitakazo kuwezesha kukopa bila kupata athari
 
Si hata kwenye Bible tumesisitizwa tusikope? Na hata ukikopa inakulazima kulipa? au nimekosea Mother Confessor?
Sijui biblia inazungumzaje juu ya hilo hasa,.ila nijuavyo unapochukua mali/kitu cha mtu ni lazima umrudishie mwenyewe kama mlikubaliana kuwa mnaazimana...lakini kuna watu hata peni tuu harudishi sembuse peso..

Kama una kitu cha mtu ni bora urudishe kwa mwenyewe,kuhodhi kitu ambacho si chako ni dhambi.
 
Back
Top Bottom