falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,230
- 9,360
Naam wiki moja tangu Mo atekwe na kurudishwa
Nakumbuka siku hiyo mkuu wamkoa wa dar aliahidi kwenda kufuatilia kero ya usafiri kwa wakazi wa kimara .
Mimi kama mdau wa usafirishaji nikaona nisifumbie macho fursa kama hizi zinazolegalega
Nikaanza kuwadodosa kwa siri na intelligencia kubwa bila wao kujua hiko wanachokuta. ka kinaweza kusaidia kwenye research
Unaambiwa ile siku usafiri ulikuwa mbaya zaidi kuliko siku zote (japokuwa siku zote mwendokasi imekuwa kero kwa watz) kigogo mmoja mwenye mamlaka huko kunako alituma meseji kwa madereva iliyozua taharuki
Meseji ilisomeka hivi "mishahara yenu ya mwezi wa kumi mtaipata mwezi wa kumi na moja" basi tangu ujumbe huo uliposambaa baina ya madereva ndio vuguvugu likaanza kushinikiza madeni yao
Sasa turudi kwenye dhumuni kuu. kumbe United Arab Emirates ndio walituma maombi ya kutaka kuendesha mradi lakini kwa danadana zinazoendelea hadi sasa wamewekwa kapuni
Mnakumbuka mkuu wa mawaziri alisema tayari kuna wabia wamekuja wanataka kuwekeza kwenye mradi huo.
lakin tangu aliposema hivyo hakuongea tena chochote hadi wauchwao
Mkuu wa mkoa nae tangu alipoahidi kwa mbwembwe kuvalia njuga suala hilo hadi leo nani kamsikia akisema chochote.huenda ni muendelezo wa ahadi zake zisikuwa na muendelezo (kiki)
Ila baada ya kukaa na watu wa ndani kabisa kwenye mradi huo nikapata nyepesi nyepesi zilizopelekea wao fly emirates kuwekewa pingamizi mahakamani
kwanza walitaka kushusha bei ya nauli, pili walitaka kuleta mabus yakisasa zaidi ya scania na mambo mengine lukuki jambo ambalo udart ya zamani lingelekea kupoteza wateja wake wengi
Pia hadi sasa udart wanakesi na maximalipo huko mahakamani jambo ambalo linasababisha wananchi washindwe kupata huduma bora kutokana na vita ya tembo.
Ni muda muafaka sasa serikañi inayojali wapiga kura wake kuweka chaguo mbili
1.warudshe daladala kama zamani huku mwendokasi ikiendelea kufanya kazi
2.waruhusu wabia wengine kuwekeza kwenye mradi
falcon mombasa safarini arusha