Wa athirika wa speed camera tutoe la moyoni

Wa athirika wa speed camera tutoe la moyoni

Mlabondo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2010
Posts
224
Reaction score
129
Salama nyote. Mie husafiri Mara nyingi kutoka KILOSA dar kwa usafiri binafsi.

Kuna kipande kutoka Morogoro kwenda dumila Panaitwa makundi. Hapa kwa anaepajua pana speed restrictions ya 50 kph. Ila sign zake zipo upande unaotokea Dodoma. Upande wa kutoka Morogoro hamna, SASA hawa Ndugu zetu toka wamepewa Chai NA Mkuu wa nchi Ni kama vile walivutishwa NA bangi.

Hapa bwana ukitokea Moro unajikuta uko kwenye zone ya 50 kph bila sign yeyote kwahiyo jamaa lazima ule fine.
 
Mie sipendi kuviziwa kwenye vivuko porini,wakazi wachache 50 kph
 
Mi ndo napenda kusafir usiku au mvua ikiwa inanyesha
 
Safiri usiku tu hakuna namna. Ila haikikisha gari lako lipo fiti sana kwani usiku hakuna tatizo gari ikiwa fiti.
 
Hivi serikali imekosa mbinu mbadala kabisa kutu saidia koz hii ishakuwa mitaji ya polisi huko njiani mtu una endesha gari ila huna amani kbsa swala la kuviziana sio zuri kwa kweli lina KERA lina BOA MNO. Serikali tafadhali tunaomba njia mbadala wa speed cameras mlio wapa hiyo dhamana wanatutesa mno njiani hamna uadilifu wa hiyo kazi
 
Back
Top Bottom