Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni watoto wa familia moja na miili yao imekutwa imetelekezwa kichakani katika kijiji cha Mashule wilayani Bukoba Mkoani Kagera Majina ya watoto hao ni Auson Respikius(7) na Alistidia Respikius(5)...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Za jion,kama kawaida nmetoka zangu job mda huu huu,..nkasema nipite mwenge sokon kule,kununua mazaga Sasa jamaa kiroho safi nkampa kikaratas cha vitu halaf mi nkarud zangu,kwamba yeye ndo aweke...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Hauruhusiwi kumshika na hata akisalimiana na Binadamu anatumia ,,gloves” maalumu, sababu ni kwamba yeye ni Mungu au ni muwakikishi wa Mungu, Malkia Elizabeti ndiye Mkuu wa Kanisa la Uingereza au...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Mzuqa, Nilicheka sana leo braza tatum alipoleta uz wa korosho. Wakulima wa korosho huko kusini wamesusia mnada kwasababu bei ya korosho kwa kilo imeshuka kutoka 4000 hadi 2100. Kabla ya hapo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
UTAFITI umebaini kuwa wananchi wa Rwanda wataendelea kuongoza katika kuishi miaka mingi katika nchi za Afrika Mashariki mpaka 2040 na kufuatiwa na wananchi wa Kenya. Mabadiliko hayo yanatokana na...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Mwenye kujua nauli ya kutoka Morogoro mjini kwenda chuo cha kilimo na utafiti Kilombero ni shilingi ngapi anifahamishe. Pia mabasi yanayokwenda Ifakara Kilombero toka Morogoro. Nitashukuru sana
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Tanzania’s mining sector is booming, and Minexpo, the premier international trade exhibition on mining is promoting the East African market to the world. The 4th Minexpo is next scheduled to make...
1 Reactions
0 Replies
681 Views
Naandika huu ujumbe uwafikie Mamlaka ya Mapato Tanzania - TRA na Mamlaka ya Bandari Tanzania - TPA. Hizi mamlaka mbili ndio nguzo kuu za kufanikisha International business hasa katika uingizija...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauliza hivi coz Quran iko kichwani mwa waumini wengi sana juzuu zote 30,sijawahi sikia km biblia imekaririwa.. VP inawezekana kuandikwa tena?
4 Reactions
119 Replies
11K Views
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Gellasius Byakanwa amewapongeza wakulima wa Korosho kwa kugoma kuuza Korosho kwenye mnada wa zao hilo. Amesema hatua hiyo ni nzuri kwani wamesimamia ipasavyo thamani ya zao...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu wote, leo pita pita yangu na biashara mtaa kwa mtaa, leo nmekwenda maeneo ya tandale kwa mtogole, Hakika leo biashara yangu imekwenda sivyo kutokana na wateja wangu kila...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwalimu Mkuu Shule ya Sekondari Igalla wilayani Ukerewe, Godfrey Kaluka amekutwa amekufa nyumbani kwake. RPC Mwanza, Jonathan Shanna amethibitisha
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Inasikitisha sana wakuu
6 Reactions
42 Replies
7K Views
http://www.jamhurimedia.co.tz/mo-awaumbua-watekaji/
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Wakuu nimepita mida hii maeneo ya Mlandizi,kuna ajali mbaya sana imetokea..limegonga wanafunzi wawili ,mmoja kafariki apo apo na Dereva kakimbizwa hospitali. Picha sijafanikiwa ila naamini...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Menopause ya wanaume ama kama inavyoitwa kitaalam, ANDROPAUSE inatokana na mabadiliko ya viwango vya homoni kunakotokana na mabadiliko ya umri wa mwanaume. Hii hupelekea kushuka kwa uzalishaji wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Uanaume wa Dar ni kupost neno "umama" mtandaoni huku umesahau kama nawe umezaliwa na mama,baada ya siku mbili unaanzisha msemo mwingine "unakufa" na wanaume wenzako wa Dar wanaushadadia na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shule hizi mbili ziko kata ya kunduchi katika jimbo la Kawe, Feza boys ni private na Kondo ni ya wananchi. Shule ukiziangalia huwezi kuamini kwamba wanapohitimu wanafanya mtihani mmoja!..... Yaani...
7 Reactions
38 Replies
8K Views
Mimi binafsi nilijihisi niko matawi ya juu sanaaaaa. Wale wa shule za binafsi nilikuwa nikiwaona ni miongoni ya wanafunzi waliofeli mtihani wa kuhitimu darasa la 7 ndio hupelekwa huko kuendelea...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom