Kuna mambo ambayo hatujui kwamba hatujui

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,892
Reaction score
7,099
Kuna mtu mmoja anaitwa Donald Rumsfeld aliwahi kusema:

"Kuna mambo tunayojua kwamba tunajua.

Halafu kuna mambo ambayo tunajua kwamba hatujui.

Lakini pia kuna mambo ambayo hatujui kwamba hatujui."

Mzee mwenzangu, unakubaliana naye huyu jamaa kwa analosema au unadhani alipiga cha Arusha kabla hajaongea maneno hayo?
 
Sasa Hayo Ambayo Hajui Kwamba Hayajui Yeye Amejuaje Kwamba Hayajui???
 
Ndiyo hapo sasa! Unaweza kuliangalia hilo kwa mtazamo tofautitofauti. Nitakupa mifano miwili niweze kujaribu kumuelewa huyu mtu.

Kwa mfano, kuna mambo yanayotokea hata sasa hivi ambayo siyo tu haujui kwa nini yanatokea, ni kwamba hauna hata habari kwamba yanatokea! Kwa hiyo haujui kwamba haujui!

Au kuna jambo lililotokea linaloonekana liko wazi kabisa lakini labda ukweli umefichwa au umechakachuliwa ile mbaya, wewe ukaingia kichwakichwa ukidhani unaujua ukweli lakini kumbe haujui kwamba haujui!
 
Kuna mtu mmoja anaitwa Donald Rumsfeld aliwahi kusema:

"Kuna mambo tunayojua kwamba tunajua.

Halafu kuna mambo ambayo tunajua kwamba hatujui.

Lakini pia kuna mambo ambayo hatujui kwamba hatujui."

Mzee mwenzangu, unakubaliana naye huyu jamaa kwa analosema au unadhani alipiga cha Arusha kabla hajaongea maneno hayo?
Na mengine hatujui tunajua hatujui
Na mengine tunajua hatujui tunajua
Basi inabidi tujifanye tunajua hata kama hatujui
 
Kakojoe ukalale uko kuna muda hatuhitaji kuskia mambo magum ndan ya vichwa vyetu
 
Back
Top Bottom