Miradi ya REA awamu ya 3 washeni umeme

Miradi ya REA awamu ya 3 washeni umeme

CHIEF MGALULA

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
1,193
Reaction score
915
Kuna eneo letu hapa Bagamoyo lilipata mradi wa REA ambapo waya na transformer ziko tayari,na Naibu waziri alifika eneo la mradi na kuahidi umeme utawashwa mapema.
Sasa yapata miezi 10 ila umeme hakuna.
Tunaomba wahusika waje watueleze kulikoñi.
 
Back
Top Bottom