Ili uwe DANGA uwe unahonga kuanzia bei gani?!

Ili uwe DANGA uwe unahonga kuanzia bei gani?!

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,855
Reaction score
141,004
Mada ihusuyo yajieleza na kujipambanua. Hii status nimeisikia kitambo kidogo lakini najiona kama hainihusu hii taito. Huwenda nikawa najidanganya.

Sifa za kuwa danga wandugu ni zipi,unatakiwa uwe unahonga kuanzia kiasi gani. Mabahili kama siye ambao ukivusha unalipia chakula tu na mchepuko unalipia lodge(mgawanyo wa majukumu kwa sababu kileleni tunafika wrote) ,je ni madanga pia? Au ni wale tu wazee wa kulipia mashemeji mpaka ada?
 
Hahah mkuu umenchekesha,kwamba unahofia huenda hua unahonga kiwangi chakustahil kuitwa danga af hujui🤣🤣
 
Back
Top Bottom