Safari ya China yamponza MC Luvanda, Mahakama yaamuru akamatwe

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
serveimage.jpg

Mahakama ya Kisutu imeamuru kukamatwa kwa MC Anthony Luvanda maarufu MC Luvanda kwa kusafiri kwenda China kinyume na zuio la Mahakama la kutosafiri

Mshereheshaji huyo maarufu yuko nje kwa dhamana ya Mahakama baada ya kushikiliwa kwa tuhuma za kurusha maudhui kupitia Mtandao wa YouTube bila ya kuwa na leseni

MC huyu aliwekewa sharti la kutosafiri kama sehemu ya matakwa ya dhamana yake kwa tuhuma zilizokuwa zinamkabili
 
Hongera mahakama kwa kutekeleza wajibu wenu.

We kama umezuiwa na mahakama kutokusafiri, kwanini usafiri? Huko ni kuonesha dharau na upuuzi kwa mahakama.

Halafu na nyie mazuzu mnaolaumu mahakama kwa kutenda haki...what do you expect?

Nyie ndio wapinga kila kitu...najua mahakamna isingemuacha mngeongea sana tu.
BADILIKENI
 
Mahakama imejuaje kama kasafiri?
 
22 May 2018
Watu wengi tunajiwekea malengo na tuna ndoto nyingi sana lakini umesha wahi kujiuliza kwanini hazitimii kama tunavyo taka? Ndugu Anthony Luvanda ana jibu swali hilo, ku-share vipi wenzetu nchi zingine wanafanikiwa na mengine mengi. Karibu.
 
Hongera mahakama kwa kutekeleza wajibu wenu.

We kama umezuiwa na mahakama kutokusafiri, kwanini usafiri? Huko ni kuonesha dharau na upuuzi kwa mahakama.

Halafu na nyie mazuzu mnaolaumu mahakama kwa kutenda haki...what do you expect?

Nyie ndio wapinga kila kitu...najua mahakamna isingemuacha mngeongea sana tu.
BADILIKENI
Well said walahi
Ubaya wa hawa machandrama Mwenye Enzi Mungu amesha wa seal with hot iron, they are crazy psychopaths walahi
It is finished walahi
 
Stupidity at its best,ndio maana tunadharaulika kama nchi..Mxiew
 
Back
Top Bottom