Wakuu habari.
Napenda kuchukua fursa hii kwa moyo wa dhati kabisa kuipongeza kampuni tajwa hpo juu kwa hatua nzuri walizochukua kutatua tatizo lililojitokeza.ieleweke lengo la thread iliyopita...
Kutokana na kuwepo kwa matukio mbalimbali yanayo tishia uhai wa vijana, ambayo yanahusishwa na imani za kishirikina katika kijiji cha Namasalau Mkoani Ruvuma, baadhi ya wananchi waishio hapo...
Ilinichukua miaka20 kula firigisi ,nyumbani baba pekee ndio alikuwa anaandaliwa firigisi na maini ya kuku.
Kwa kipindi kile nilikuwa natamani sana kula nijue lina ladha gani,ila kwa nyumbani...
Habari za mihangaiko wana jf nimeona nitoe duku duku langu hapo kwa Hawa member wa jf sijui ni utoto au laaah
Unakuta mtu aleta Uzi hapa mwisho anasema njoo inbox ukifika huko ni mapicha picha tu...
Habari wadau,
Ningependa kufahamu labda kwa kuwa uelewa wangu juu ya mambo ya kiroho ni mdogo, Je kifo kinachotokea kwa binadamu ni mpango wa Mungu? na Je! kama ni mpango wa Mungu kwa nini kwenye...
Ronnie hasahau, na wala mimi sisahau, hafla iliyofanywa katika Royal African Society, London, Mwalimu Julius Nyerere alipokuwa anaaga kabla hajastaafu. Tulikuwa pamoja na Yusuf Hassan, ambaye sasa...
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, amesema kuwa katazo la Serikali la kuagiza nje ya nchi vifaa vya kujengea miundombinu ya usambazaji umeme kama transfoma, nyaya, nguzo na mita za umeme...
Kipindi Niko mdogo nilikuwa sielewi mtoto anapatikana VP...
Nilikuwa nasikia tu anajifungua ..kiukweli nilikuwa sielewi maana yake....kujifungua nilikuwa naelewa ni kujifungua kanga ambayo wamama...
Naombeni kufahamishwa wap naweza pata mkopo wa gari ndogo kwa ajir ya biashara ya tax iwe ni bank au mtu binafsi nina kiwanja Bunju kikubwa na kina hati miliki lejesho naweza fanya 150,000 kwa...
Nusu ya holders wa vyeti vya kuuzia madawa TFDA hawajapata vyeti hivyo kiuhalali, pamoja na kwamba majina yao kule TFDA yanaonyeshwa kwenye orodha kuwa walihudhuria eneo fulani mafunzo ya kutoa...
Diamond Trust Bank’s Boaz Nsagarufu controls the ball before shooting during the 2018 interbank tournament held at Spider’s Court which is located along the Barack Obama road in Dar es Salaam over...
Upande wa mashtaka kesi ya wizi wa mitihani ya Taifa ya darasa la saba inayowakabili walimu watano wa Shule ya Msingi Hazina, umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi wa shauri...
Karibuni wadau
Mtuhumiwa mmoja alisimamishwa mahakamani huko Marekani na kujitetea kwa kumnukuu raisi Trump kuwa alisema ni sawa kushika naniii hiiii.....
Alisema Trump,:
You know I’m...
wapendwa!
kama kichwa cha habari kinavyojieleza;
Simu za mkononi zikipigwa marufuku wasiingie nazo kazini walioajiriwa serikalini, Je; inaweza ongeza kasi ya uwajibikaji na kupunguza vi-rushwa...
HONGO.
“Maneno ya kueleza jinsi ulivyokuwa sina. Tunakufahamu kama mwelekezi wa mkoa wetu. maendeleo mengi ya watu teule tumeyaona kupitia kwako. Ulikuwa na bidii za mchwa katika kuwafanya...
Nimefurahishwa na hii habari ya wanafunzi wa chuo cha Dar es salaam Marine time Institute kuja na ugunduzi wa sensor yenye uwezo wa kusense kama nahodha kalewa na kama kivuko au chombo chochote...
Tumefika hatua nzuri ya maendeleo ya uwanja wetu wa mazoezi wa #SIMBA . Nafurahi kuona maono yangu yanakamilika ili hata siku nisipokuwepo duniani, uwanja uendelee kutumika kwa mazoezi Insha'Allah
Kuna jambo moja linafanywa kwenye hospitali na zahanati za Serikali mimi binafsi naona kama haliko sawa Naomba ndugu zangu mnisaidie kunipa muongozo katika jambo hili.
Kuna binti mmoja amepata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.