johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,412
- 142,654
Shule hizi mbili ziko kata ya kunduchi katika jimbo la Kawe, Feza boys ni private na Kondo ni ya wananchi. Shule ukiziangalia huwezi kuamini kwamba wanapohitimu wanafanya mtihani mmoja!..... Yaani tofauti ya rasilimali watu, vifaa na miundombinu ni tofauti kabisa unaweza kufikiri moja iko Ulaya na nyingine Tandahimba. Nitoe wito kwa wazazi tujitahidi kuzihudumia shule zetu za Kata ili ziendane na wakati, nadhani mbunge Halima Mdee umenisikia!