Mswahili akibahatika kuzikamata awe na unafuu anakuwa limbukeni

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuqa,

Nilicheka sana leo braza tatum alipoleta uz wa korosho.

Wakulima wa korosho huko kusini wamesusia mnada kwasababu bei ya korosho kwa kilo imeshuka kutoka 4000 hadi 2100.

Kabla ya hapo ilivyokuwa 4000 kwa kilo walikuwa malimbukeni na jeuri ya hela hadi mbuzi waliwanywesha bia.

Nadhani hii ilimuudh bwana mkubwa kwasab hapendi wengine kufurahia maisha
 
we ukiyafurahia maisha unamywesha mbusi bia?
 
Mzuqa,

Nilicheka sana leo braza tatum alipoleta uz wa korosho.

Wakulima wa korosho huko kusini wamesusia mnada kwasababu bei ya korosho kwa kilo imeshuka kutoka 4000 hadi 2100.

Kabla ya hapo ilivyokuwa 4000 kwa kilo walikuwa malimbukeni na jeuri ya hela hadi mbuzi waliwanywesha bia.

Nadhani hii ilimuudh bwana mkubwa kwasab hapendi wengine kufurahia maisha
Nani anapandisha na kushusha bei ya korosho?
 
Mazao biashara kama korosho bei zake zinategemea na soko la kidunia serikali haiwezi kupanga bei
 
Wabongo wamekaririshwa kuilaumu serikali kwa kila jambo
kwa mfano kwenye soko la dunia korosho inanunuliwa 3000 halafu unataka serikali ikupangie bei ya 4000?
 
Back
Top Bottom