Malkia Elizabeti Uingereza ni Mungu!

Malkia Elizabeti Uingereza ni Mungu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Hauruhusiwi kumshika na hata akisalimiana na Binadamu anatumia ,,gloves” maalumu, sababu ni kwamba yeye ni Mungu au ni muwakikishi wa Mungu, Malkia Elizabeti ndiye Mkuu wa Kanisa la Uingereza au ,,anglican church” , ni kama vile Baba Mtakatifu wwnu Papa alivyo mkuu wa Ukatoliki, hata wimbo wa Taifa wa Uingereza unasema ,,god bless the queen” maana yake kupitia yeye Malkia wote mmebarikiwa.

Kama unaamini Papa anateuliwa na Mungu kukuongoza kwa nini isiwe Malkia Elizabeti ambaye ans nafasi sawa na Papa kwenye Kanisa la Uingereza?
 
Tangu lini mwakilishi wa Mungu akawa Mungu mkuu??

Kuna mambo hayahitaji upotoshaji wa wazi kama huu.

Kwamba Balozi wa Tanzania nchini Kanada Muheshimiwa sana Naniliu ndiye Magufuli??
 
Unashangaa ya malkia Tanzania kuna dini humwabudu Raisi wa Zamani wa marekani George Bush jnr kama Mungu Na Agustino Lyatonga Mtema kama Mtume Na nabii wa Mungu George Bush.Na ina wafuasi wenye majina Na hadhi kubwa Tanzania.Inaongozwa Na Bibi mmoja wa Mbeya Bush Na Mtema sijui kama wanalijua hilo.
 
Hauruhusiwi kumshika na hata akisalimiana na Binadamu anatumia ,,gloves” maalumu, sababu ni kwamba yeye ni Mungu au ni muwakikishi wa Mungu, Malkia Elizabeti ndiye Mkuu wa Kanisa la Uingereza au ,,anglican church” , ni kama vile Baba Mtakatifu wwnu Papa alivyo mkuu wa Ukatoliki, hata wimbo wa Taifa wa Uingereza unasema ,,god bless the queen” maana yake kupitia yeye Malkia wote mmebarikiwa.

Kama unaamini Papa anateuliwa na Mungu kukuongoza kwa nini isiwe Malkia Elizabeti ambaye ans nafasi sawa na Papa kwenye Kanisa la Uingereza?
Queen elizabeth is a high level satanist.

 
Tafadhalini tumieni neno mungu wala huyo ulomtaja hana sifa ya M kubwa bali ni m ndogo
 
Nilijua malkia ni mungu. Sasa tena kwa nini uimbe mungu mbariki malkia. Na sio mungu malkia tubariki.


Umakini wowote uliopaswa kupelekwa kwa Mungu na badala yake unapelekwa kwa kiongozi wa kiroho ni ibada kamili na inamfanya mtu au kiongozi huyo wa kiroho kuwa mungu wako.
Hii ni kufuru kwa Mungu muumba wa mbingu na nchi.
 
Mmmmh utumbo utumbo tu kwani wao wakati wanakuja dunian walipitia haja kubwa?
 
Hauruhusiwi kumshika na hata akisalimiana na Binadamu anatumia ,,gloves” maalumu, sababu ni kwamba yeye ni Mungu au ni muwakikishi wa Mungu, Malkia Elizabeti ndiye Mkuu wa Kanisa la Uingereza au ,,anglican church” , ni kama vile Baba Mtakatifu wwnu Papa alivyo mkuu wa Ukatoliki, hata wimbo wa Taifa wa Uingereza unasema ,,god bless the queen” maana yake kupitia yeye Malkia wote mmebarikiwa.

Kama unaamini Papa anateuliwa na Mungu kukuongoza kwa nini isiwe Malkia Elizabeti ambaye ans nafasi sawa na Papa kwenye Kanisa la Uingereza?
Huyo sio Mungu ni mungo naomba uzingatie matumizi ya herufi
 
Hauruhusiwi kumshika na hata akisalimiana na Binadamu anatumia ,,gloves” maalumu, sababu ni kwamba yeye ni Mungu au ni muwakikishi wa Mungu, Malkia Elizabeti ndiye Mkuu wa Kanisa la Uingereza au ,,anglican church” , ni kama vile Baba Mtakatifu wwnu Papa alivyo mkuu wa Ukatoliki, hata wimbo wa Taifa wa Uingereza unasema ,,god bless the queen” maana yake kupitia yeye Malkia wote mmebarikiwa.

Kama unaamini Papa anateuliwa na Mungu kukuongoza kwa nini isiwe Malkia Elizabeti ambaye ans nafasi sawa na Papa kwenye Kanisa la Uingereza?
Mbona na Jiwe ni Mungu wa Tanzania, tena kuliko Mungu. Hakuna la ajabu, angalau Malkia anawaruhusu watu wake kusema (uhuru wa kusema), hambambikii mtu kesi, hapigi risasi wapinzani......honei wapinzani
 
Back
Top Bottom