Kwani panya road bado wapo?

bigest

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
340
166
Habari zenu wakuu wote, leo pita pita yangu na biashara mtaa kwa mtaa, leo nmekwenda maeneo ya tandale kwa mtogole,

Hakika leo biashara yangu imekwenda sivyo kutokana na wateja wangu kila nlipokua nabisha hodi sipokelewi na hakuna anayenijubu,

Nyumba kama 10 napita nakuta milango wamefunga lkn ndani wapo.

Nashukuru mkazi mmoja akaniuliza unajiamini nini leo huku kunachafuka baadae,

Nikauliza nikaambia mitaa ile kuna kijana aliiba wanainchi wapiga mpaka kifo, sasa vijana wenzake wamepanga leo baada ya mazishi saa kumi wanaingia mtaani kulipa kisasi kwa wanainchi waliyofanya hivyo.

Nmejiuliza hivi mpaka sasa panya load bado wapo?
 
Wale waanzlishi wote wapo segerea
Wakina simba wakuchora sijui ninja nk
Hawa waliopo labda ni chimbuko lao jipya
 
Mkuu mpka maduka yalifungwa but polisi wakasema tufungue na tuendeleee na shughuli zetu kama kawa hivyo wapo wa kutosha road + tiss,so wakianzisha tu hawawakamati bali wanawanyanganya silaha in 'kangilugola voice"
Hope unajua nini maana ya kuwanyanganya silaha so hatuogopi tena,bali tunaomba tu waje ili wapunguzwe kwenda makaburini na syo jela tena.
Jerrybanks
 
Unafanya biashara gani mkuu au zile za bidhaa za kutembeza kila nyumba
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom