Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,585
- 3,182
Uanaume wa Dar ni kupost neno "umama" mtandaoni huku umesahau kama nawe umezaliwa na mama,baada ya siku mbili unaanzisha msemo mwingine "unakufa" na wanaume wenzako wa Dar wanaushadadia na kuusambaza mitandaoni....