January 3. 2018 Kijana wa miaka 20 mjini Florida nchini Marekani anasema kuwa anapanga kujifurahisha baada ya kutangazwa mshindi wa $451m katika mchezo wa bahati nasibu..
Hiki ni kiasi gani kwa...
Mzee wangu ananiambia alinunua kiwanja huko Kibaha, sasa juzi kati wakapewa taarifa kwamba kwa yyte ambaye hajaliendeleza hilo eneo serikali italichukua , hivyo imemlazimu kuanza ujenzi wa haraka...
Mzee anayenufaika na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Tasaf, Anthony Mikami (76) amejinyonga kwa kamba ya chandarua katika kijiji cha Nyabihanga kata ya Bukiriro wilaya ya Ngara mkoani Kagera kwa kile...
TABORA:
Mfanyabiashara mwingine mwenye asili ya Kihindi aliyefahamika kwa jina la Kishori ametekwa na watu wasiojulikana usiku wa Oktoba 25, 2018 na kisha kuondoka nae sehemu isiyojulikana.
Kwa...
Alama zinaonesha mtu anasumbuliwa na msongo wa mawazo(stress):
1. Kuachwa na mpenzi .
2. Matatizo katika mahusiano.
3. Ugumu wa masomo.
4. Kubanwa sana kazini.
5. Matatizo na marafiki.
6. Ugumu wa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtia mbaroni Mfanyabiashara Kageta Kageta (35) kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroin zenye uzito wa Gram 815.3 alizoficha katika eneo la...
Habarini za muda huu, poleni na majukumu ya kuhakikisha tunajenga taifa letu na familia zetu, mungu awabariki sana
.
.
Kwa wale wote mnaougua na kuuguza mungu awape wepesi na awaponye kabisa, ili...
A woman's place is at home with kids
A woman has a role to play in raising a family this role is very important in building a society no other role is noble than a woman's role at home.
No career...
Shirika la Promotion of Rural Initiative and Development Enterprises Limited (PRIDE Tanzania) linakabiliwa na hali mbaya sana kifedha, inadaiwa huenda likawa Mufilisi. Shirika hili ambalo...
Kuna mengi tunayoyaona au kuyafanya kwenye jamii zetu ni ya Ajabu sana,kama ni mfanyaji huwezi kuona uajabu huo mpaka pale jamii itakapoona au utakapomaliza kufanya na kutafakari,
Kuna mengi ya...
Habari...kumekua na trending news week hii kumuhuusu huyu jamaa was soud Arabia baada ya kuuwawa ndani ya ubalozi wa nchi yake uko turkey...lakini swali ni kwamba kwanini uyu mtu anafatliwa Sana...
There is this guy kitaani kwetu who worship at the Siloam Church .
He says they don't die and will never die .. Mchungaji wao wa sasa anaitwa Baba Mtakatifu .
Yule alie fariki ( Alipaa?) Alikuwa...
Slogan yetu ya ''Hapa Kazi" ni nzuri sana ina nia njema sana lakini kuna suala moja linajitokeza hapa, Lengo hasa la hyo kauli ni nn kama ni kwa ajili yetu tu sisi watanzania ni sawa kabisa mana...
Katika kumbukumbu zangu inaonyesha kwamba tarehe kama ya leo ( 26/10 ) miaka kadhaa iliyopita alizaliwa binadamu Muhimu sana kwenye siasa za Tanzania , Mpigania Uhuru aitwaye Godbless Lema.
Kwa...
Umofia kwenu Wana JF
Sijajua kama nitakuwa sahihi kwa kila mtu lakini naona ni fikra sahihi na mikakati sahihi
Kutokana na kilichotokea kwa MO kuna jambo moja naona limezidi kukazia hoja yangu...
Wakuu habari.
Mwaka uliopita kuna rafiki yangu alikua anafanya kazi kwenye hospitali ya K's iliyopo jijini Mbeya, huyu jamaa alikua IT kwenye hospitali hyo akaja akafukuzwa kazi kwa sababu ambazo...
(Hii nimeikuta sehemu)
Anaandika Semeni Nyerere mwaka 2016
Kwamba;-
[emoji117]Ukisikia Rais Nyerere yuko sehemu kuongea na wananchi, wananchi walikuwa wanajawa na shauku,walikaa kando na redio...