*CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAENDELEA KUSISITIZA USHIRIKIANO NA ASASI ZA KIRAIA NCHINI KATIKA UTETEZI WA KISERA WA MASUALA YA WANANCHI*
26 Oktoba 2018
Katika Mkutano wa wiki ya Asasi za kiraia...
Watoto wengi umtukuza Nyerere kama Yesu hasa huko shuleni,
Nimekumbuka machache
1. Wakati wa Vita wanajeshi wa Uganda walifyatua risasi impige Nyerere Kapteni Mayunga akamlamba ngwala Nyerere...
Mheshimiwa,
Kila wakati ukienda kuulizia juu ya fao la mkopo wa elimu kwenye mfuko wa PSPF jibu unalopewa ni kwamba muongozo haujatoka. Ni mwezi wa pili sasa hata wafanyakazi nao hawajui majibu ya...
Baada ya siku tano mpaka leo tar. 24 Oktoba maji hayatoki hususani eneo la Kerege CCM. Sijui maeneo mengine.
Meneja bagamoyo ufafanuzi tafadhali.
Nimeuliza wanasema ni tatizo la umeme kwenye...
Hali ya umeme kukatika katika ktk manispaa ya Songea imepelekea mgonjwa aliyepata ajali ya pikipiki usiku saa 8 kushindwa kutibiwa hadi hapo umeme utakaporudi. Mgonjwa huyo alikuja ktk hospitaLi...
Unakuta unatoa sh 500,000 kwenye Mpesa wanakukata 6,399 (1%). Hii ni ghali sana. Nimeshangaa sana kuhamisha tu hela toka account yako kwenda account ya simu yako iwe ghali hivyo? Halafu kuingia...
Utekwaji wa MO ulifanywa katikati ya habari iliyotikisa dunia ya mauaji wa mwandishi wa habari Khashoggi ndani ya ubalozi wa Saudi Arabia nchini Uturuki. Mataifa makubwa na vyombo vikuu vya habari...
Assalam Aleykum
Katika matukio ambayo yanazidi kuonesha kuwa sisi watanzania labda hatuna haki ya kuishi au haki zetu binafsi hasa kwa nchi za kiarabu ambayo ndugu zetu hukutwa na majanga mazito...
MKUU wa Kitengo cha Usalama wa Shirika la Posta nchini, George Mwamgabe ambaye hivi karibuni mwajiri wake alitangaza kwenye magazeti kuwa anatafutwa, amedaiwa kumtegea dawa za kulevya Postamasta...
Kuna watu wengi ufa, upotea na uchizika wakiwa na hela kwenye Mobile money, ni vigumu kwa dunia hii ndugu kuwa na taarifa za kiasi alichonacho jamaa kwvenye mobile phone,
Hivo basi sishauri...
Watafiti wa Kisayansi kutoka Chuo Kikuu cha ' Majiniasi ' tupu Duniani cha Havard kwa Kushirikiana na wenzao wa Taasisi ya Teknolojia Marekani ( MIT ) wameonya ya kwamba kama Wananchi wote...
Kitanda hiki kimeteremshwa toka kwenye basi checkpoint Bagamoyo kwa kosa la abiria kushindwa kulipia ushuru wa misitu wa sh20000.
Aisee mtetezi wangu ni nani sasa
Abiria kwenye dillema akaamua...
Utafiti wa sayansi uliofanywa hivi majuzi ulifichua kuwa watu warefu wamo katika hatari zaidi ya kupata aina fulani za kansa.
Utafiti huo uliofanywa na watafiti wa Marekani na kuchapishwa katika...
Naomba kujua, sheria ya Visa ya kusafiria ipo namna gani kwa raia wa Ethiopia anaetaka kuja Tanzania?
Yani Raia wa Ethiopia anatakiwa kuwa na Visa pamoja na Passport au ni Passport peke yake...
Msanii maarufu wa nyimbo za Gospel kutoka Kenya Mercy Masika anatarajiwa kufanya Live Performance mjini Dar es Salaam.
Performance hiyo itafanyika katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere...
Hi Guys,
Naomba msaada wa kufahamu taratibu za kupatiwa leseni kwa ajili ya HF Radio Frequency ambazo zinatumika kwa mawasiliano kwenye magari ya route ndefu.
Natanguliza shukrani zangu kwenu!
Takribani miezi miwili tangu Rais atoke Mara na kutoa amri kuwa huyu bwana akamatwe na kushtakiwa kwa uhujumu uchumi, lkn hadi sasa hii habari ilipoza ghafla, nauliza, kma mtu anayejulikana...
Habari wanajukwaa.
Natambua uwepo wa watu wenye ufahamu na uzoefu katika mambo mbalimbali nami nikaona nipate kufahamishwa jambo hili.
Tangu nikiwa mdogo hadi zama hizi nimesikia na ninaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.