Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Unasafiri katikati ya pori zito sana. Ukiwa peke yako bila silaha yoyote ile. katika kutembea mara unakutana na simba. Unampita ile kumaliza kumpita tu anaanza kukukimbiza unakimbia kwa nguvu zako...
0 Reactions
4 Replies
592 Views
Baada ya kundoka Mzee Masako nilijiuliza ni nani atavaa viatu vyake katika kipindi cha Kipimajoto. Lakini kwa muda mfupi ambao umeendesha kipindi hiki umekitendea haki kwa 100% na umekiendesha kwa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wiki kama mbili hivi, katika harakati zangu za kusaka mahela, nilitokezea mji mmoja. Basi nikiwa nimepanda Bajaji nikasikia mlindimo wa muziki kama vile kulikuwa na mdundiko au kigodoro. Nikaamua...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za siku Wanabodi! Naomba kujuzwa/kuelekezwa hii Shule tajwa nitaifikia vipi, hasa kwa Wakaazi wa Kigamboni na viunga vyake au mtu yoyote anayefahamu ilipo naomba anielekeze. Maana...
0 Reactions
0 Replies
631 Views
KUMBE KWELI, NDIYO MAANA....? Prof Juma Kapuya alifundisha Botany pale mlimani, lakini kinachomtambulisha sasa ni ubunge wa Urambo Magharibi/Kaliua huko na uwaziri wa elimu, michezo, kazi,vijana...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa namna moja unaweza ukahisi vibaya watu wanaoishambulia biblia au dini ya kikristo, ila kwa namna nyingine wana haki ya kuhoji utata uliopo. mimi pia naomba nihoji hii alama niliyoikuta kwenye...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Habari zenu wadau, Kuna huu ujenzi wa Makao Makuu ya Wizara ya Maji pale geti maji njia panda ya chuo. Huu ujenzi nauona umesimama mara tuu baada ya agizo la Mh. raisi kutaka Wizara zote zihamie...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii si haki kabisa ada za vituo vya Matangazo(Media) mnatoza kwa USD na kuimpose exchange rates zenu kwanini ada isitozwe kwa TZS? Mheshimiwa Rais JPM wachunguze hawa jamaa wa TCRA huku nako kuna...
0 Reactions
3 Replies
725 Views
Kuna mama mmoja anauza mihogo ya kukaanga hapa CBE Dar nje ikifika saa 12 hadi moja moja flani hivi jioni. Amekuwa msaada mkubwa sana kwa kweli hasa kwa wadada warembo wa CBE, utakuta sister du...
8 Reactions
35 Replies
4K Views
Zaidi ya wanafunzi 38 wa shule ya sekondari mkolani jijini Mwanza wamenusurika kifo, kufuatia moto mkubwa kuteketeza vyumba viwili vya bweni la wasichana, huku wanafunzi wawili wakizimia kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WAMILIKI wa Pikipiki za kubeba abiria maarufu kama Bodaboda, wametakiwa kuanza kujiandaa kwa mfumo wa ulipiaji mapato kupitia leseni ya usafirishaji wa abiria. Kauli hiyo ilitolewa kwenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi, Tunawategemea watu fulani waje watusaidie katka mapambano ya kimaisha bila ya kuwafanyia uchunguzi au kujiuliza kama watu hao wapo tayari kutegemewa. Hii ni hatari sana...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Matangazo ya Redio Magic FM ya Dar es Salaam yamerejea hewani. Magic FM na Redio Five ya Arusha zilifungiwa na Waziri wa Habari kwa muda usiojulikana. Sina taarifa ya kufunguliwa kwa Redio Five...
0 Reactions
6 Replies
901 Views
Mh. Rais alisisitiza ukifanya Malipo yeyote dai risiti ili serikali ipate mapato! Sasa ni kwanini askari wa barabarani wakitoza fine hawatoi risiti na wanaishia kukupa notification na hela mtu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwanza nianze kabisa kukiri kuwa nami ni mmoja wa Wadau wenu wa Kipindi chenu cha 360 hasa kutokana na aina yenu ya Kipekee kabisa ya uwasilishaji wa ' issues ' ambazo mmezifanya ziwe na mvuto na...
6 Reactions
46 Replies
9K Views
  • Redirect
Heshima kwa Dk Jpm Wapoo walioahidi NA kuondoka NA ahadi zaoo leoohii hats mwaka ujafikisha umeleta mbili kwamahesabuya haraka 2020 ukona ndege 7+ MUNGU AKUONGEZEE UHAII AKUPE NGUVU YA KULETA...
0 Reactions
Replies
Views
Jeshi la polisi mkoani Mbeya, jana lilisitisha kwa muda mazishi ya aliyekuwa askari polisi, kitengo cha usalama barabarani mkoani Arusha, Allen Mwanasiasa, baada ya ya kuona bendera za Chama cha...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Tunaitaji mjadala wa hili Mh. DPP. Kama mtu anakamatwa na kg kumi za mirungi Jumanne Ijumaa anapewa miaka 30. Huyu mama wa kichina mchezo gani unaendelea why wasimhukumu ama kumwachia kama mnaona...
0 Reactions
3 Replies
816 Views
Imetokea kwa mashirika mengi ya ndege kwa sasa kupiga marufuku abiria kupanda,kuchaji au hata kubeba mzigo wenye simu za Sumsung Galaxy Note 7. Ambatanisho hapo inaonyesha Oman Air na RwandAir...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom