DAR: Mfanyabiashara wa dawa za kulevya anaswa

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtia mbaroni Mfanyabiashara Kageta Kageta (35) kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroin zenye uzito wa Gram 815.3 alizoficha katika eneo la choo, baada ya kuhojiwa amekiri kuhusika na biashara ya dawa za kulevya

Bwana Kageta Kageta ni Mkazi wa Tabata Kinyerezi
 
uzi hauna picture mkuu " haujakamilika
 
When you kill all the cockroachs and at final you meet the BIG BOSS
IMG_20181022_132230.jpeg
 
Nilidhani Bashite alimaliza mambo ya ngada jijini, kwa jins alivyokuwa anajipiga kifua...siasa bhana!
 
Zina
ZinaChomwa moto [emoji91]
Uchome moto pesa?? Kuna kipindi cha utawala wa jk mafuriko makubwa yalitokea mererani ,,majeshi yakaja kwa ajili ya kuopoa watu toka migodini,,,wakashindwa...wanaapolo wakasema kama mnataka tuwasaidie tuleteeni dope...wakakataa...sojaa wakazama tena hawakupata mwili hata mmoja....wakasarenda wakawaletea magunia kadhaa....unaambiwa ilivutwa kama nusu saa watu wakazama mgodini wakapanda na maiti zaidi ya 80
 
What's the moral of your story?
 
Unachomwa unga sio Hela Labda urikua hujaelewa
 
Back
Top Bottom