Eti Siloam Church members wanadai hawafi

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,977
Reaction score
37,879
There is this guy kitaani kwetu who worship at the Siloam Church .

He says they don't die and will never die .. Mchungaji wao wa sasa anaitwa Baba Mtakatifu .

Yule alie fariki ( Alipaa?) Alikuwa anajiita Eliya Adam wa Pili Mungu wa Majeshi.

Wanasema Mchungaji wao wa sasa ndio Mungu.

Wanaamini kuwa Shetani ameshakufa na wao ndio wamemuua .

Siloamers please hebu njooni mnifafanulie huku
 
Subiri mkuu soon utasikia nao wanakufa ya nini kubishana na binadamu na wakati siku zao za kuishi zinahesabika.
 
Kumbe aliyepaa kashapata mrithi

Mi wananichanganyaga sana
 
There is this guy kitaani kwetu who worship at the Siloam Church .

He says they don't die and will never die .. Mchungaji wao wa sasa anaitwa Baba Mtakatifu .

Yule alie fariki ( Alipaa?) Alikuwa anajiita Eliya Adam wa Pili Mungu wa Majeshi.

Wanasema Mchungaji wao wa sasa ndio Mungu.

Wanaamini kuwa Shetani ameshakufa na wao ndio wamemuua .

Siloamers please hebu njooni mnifafanulie huku
[emoji848]
tapatalk_1540550484501.jpeg
 
Ukisikia hii kitu kimbia kuliko mtu anayekimbia ukoma
 
Nakushauri uende kama kwa miezi sita tu maana kuna vitu very very interesting usi wa judge wewe nenda kama wewe walahi
 
Duh, pole yao, yaani Dunia hii ni ya kuishi milele? Wengine kama mimi hata tumeshachoka tunasubiri siku ifike tusepe tu, kuna kipi cha kuishi milele hapa?
hahaa leo umeongea Point " mwehu wewe "

inashangaza sana" mtu anataka kuishi milele kwenye huu ulimwengu uliojaa kadhia .tabu. na mateso
 
Unapata wapi muda wa kuongea na watu wanao onekana wana depression
 
Hapana si kweli wanakufa. Kuna kufa kimwili na kufa kiroho. Sasa wao walisema hawafi kimwili au kiroho?

Kaburi LA Elinduminamfoo Mnisi a.k.a Eliya, Adamu wa Pili Mungu wa Majeshi, liko pale Mapinga Bagamoyo.
 
Hahahahahahah
Ama Kwl Kwa Mwanadamu Xhida Ni Ulimi Ukijufunza Ukmya Haunaga Haxara,,,,,,,,,
 
Elewa kitu hapa.

Biblia inasema kila nafsi itaonja mauti.
C
Jay Z alitoa wimbo unaitwa Forever Young.

Pia alishirikishwa wimbo unaitwa Freemason, Alikuemo Rick na Legend.

Na kiitikio ndiyo hiki hapa

go to the grave before I be a bitch nigga
Better behave: you dealin' with some rich niggas
Started in the ghetto, now we worldwide
Multiplying and I pray to God we never die
I go to the grave before I be a bitch nigga
Better behave: you dealin' with some rich niggas
Started in the ghetto, now we worldwide
Multiplying and I pray to God we never die...

Kiitikio kinaongelea swala la kutokufa na kuishi milele.

Connect dots hilo kanisa ni wakala wa...?

Nimeamua kuzingua nina njaa Mama Jeff kamaliza chakula mapema
 
Halafu kwanini wanapenda kuvaa nguo nyeupe (waumini na viongozi) wanapoenda ibadani?
 
Back
Top Bottom