I wish you Godbless Lema A very Happy Birthday Indeed

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,377
217,441
Katika kumbukumbu zangu inaonyesha kwamba tarehe kama ya leo ( 26/10 ) miaka kadhaa iliyopita alizaliwa binadamu Muhimu sana kwenye siasa za Tanzania , Mpigania Uhuru aitwaye Godbless Lema.

Kwa niaba ya makamanda wote wa hapa jf na kwingineko namtakia siku njema sana ya kuzaliwa kamanda huyu aliyejitolea uhai wake ili kuleta ukombozi kamili , Mungu ampe maisha .
 
Back
Top Bottom