Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Majibu tafadhali!........tuna biashara zetu huko zinaxotumia maji kama malighafi!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naima wazima.Niende kwenye hoja binafsi shughuli zangu nafanyia kkoo sasa kumekuwa na kero sisi watembea kwa miguu asbhi kuanzia kigogo to jangwani ukifika kuanzia club ya yanga utakuta makohozi...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika teuzi za leo nimeona mhe raisi ameteuwa mkurugenzi wa iyo kampuni... Na je hii kampuni ndo hii yenye vituo vya mafuta vilivyokuwa BP apo mwanzo? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani ndugu zangu wakulima wa tanzania hivi tumeikosea nini tanzania maana sasa hivu bei ya mazai umeshuka kiasi kwamba hakuna faida yeyote ile ya kulima mahindi maharage mpumga nk kwa sababu ya...
0 Reactions
2 Replies
754 Views
Habarini wakuu? Kabla ya kwenda kwenye swali kuu naomba tujiulize maswali haya: 1. Je chakula kilichopo tumboni kina bacteria? 2. Kama zipo ni kivipi aziwezi sababisha maradhi wakati huo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mara nyingi inakuwaga ni vigumu sana kwa sisi binadamu kuamini baadhi ya mambo hasa kwa kuhadithiwa wengi wetu hupenda kuthibitisha yale yasemwayo kisha ndo tuamini lakini kwa msaada wa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Inawezekana kabisa siku ambayo ulifungua akaunti yako ya Facebook, Instagram au hata WhatsApp ulikuwa na lengo na kuchati na washikaji, ndugu na watu wengine wengi. Hukufikiria kuhusu kutengeneza...
2 Reactions
4 Replies
7K Views
Nauliza mifuko ya Jamii kama PPF, NSSF etc bado ni functional? kama imefutwa nani analipa wahusika
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu zangu habari za wakati huu. Hii sasa ni vita.Ndiyo.Ni vita kali iliyopo kati ya wauza samaki soko kuu la Bariadi-Simiyu na maliasili. Vitendo wanavyovifanya maafisa wa maliasili kwa wauza...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wana jamvi kuna taarifa kuwa Benard Membe ameandika kitabu sijajua kitabu kinaitwaje na kinahusu nini hasa.Mwenye kujua hebu tupe walau mawili matatu juu ya kitabu hicho. Nawasilisha
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimekaa nimefikiri sana ni namna gani hali huwa baada ya gari kutekwa na kaka jambazi. Mwenye uzoefu na matukio hayo wadau maana nahisi ikinitokea siku hiyo sijui itakuwaje
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mkoa wa Tabora umeanza kutumia taa za kuongozea magari na vyombo vingine vya usafiri barabarani ambazo zimefungwa katika makutano ya barabara kuu za Tabora - Nyahua na Tabora - Nzega kwenye eneo...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Umoja wa Mataifa‏Verified account Maendeleo ya viwanda, ubunifu na miundombinu ni muhimu ili kuhakikisha kila mtu anapata huduma za: maji safi na usafi umeme barabara
0 Reactions
0 Replies
820 Views
kuna baadhi ya mambo mkuu wa mkoa wa daresalaam anafanya vyema sana tazama ama kwa jinsi alivyotenda hakia kwa mtu aliyesababishiwa ulemavu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Watumishi wa umma wengi ni maskini kabisa na huwa wanastaafu maskini kiasi cha kusababisha msongo wa mawazo na kufa mapema. NUnakuta mtu anaishi kwa mshahara tu miaka nenda rudi bila kuanzisha...
7 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari zenu...ningependa kufundishwa ama kuelekezwa namna ya kupata application itakayo nisaidia kuona channel zote za kiswahili... Najua jamii forum ni mahali ambapo hakuna kinacho...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hongereni kwa ujenzi wa taifa. Leo hapa kata ya Mshangano Songea afisa mtendaji ametangaza ushuru wa magenge ya mitaani shilingi elfu moja kwa siku. Yaani kwa mfano wewe hapo nyumbani kwako uweke...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nazungumzia taa za barabara kuu ya geita -mwanza.Taa zina mwanga hafifu hta tochi ina afadhali, Naomba wahusika wafuatilie hili suala kuna uwezekano kuna rushwa imetumika ili mkandarasi apate hyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau Matukio mengi ya ajabu yamekuwa yakiikumba jiji la Dar mpaka kufikia hatua wananchi wa mikoani kuanzisha kampeni ya kuwatania wakazi wa dar kwa lengo wabadilike na waache tabia za...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom