Ugonjwa wa mawazo ni ubaya kuliko ukimwi, tujikinge kabla tukingwe.

Mchezaji

Member
Oct 5, 2018
42
38
Alama zinaonesha mtu anasumbuliwa na msongo wa mawazo(stress):
1. Kuachwa na mpenzi .
2. Matatizo katika mahusiano.
3. Ugumu wa masomo.
4. Kubanwa sana kazini.
5. Matatizo na marafiki.
6. Ugumu wa maisha.
7. Kulala sana bila mpangilio na isivyo kawaida.
8.Kutokupata usingizi kabisa hasa wakati wa usiku.
9. Kupoteza kumbukumbu ya vitu vingi.
10. Mabadiliko katika tabia yako ya kula.
11. Kuwa na hasira.
12. Kukataa tamaa .
13. Kujikuta unalia bila sababu.
14. Kuwa na wasiwasi na hujiamini.
 
Sijaelewa vizuri hizo ni sababu za ugonjwa dalili au ndio madhara yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom