Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na waandishi wa habari na wajumbe wa Baraza hilo...
Ama kweli "loose Goat don't know how a tied Goat feeling"
Huo usemi niliupata kwenye mafundisho fulani (zamani kidogo) ya "Priority of singleness". Mafundisho hayo yalilenga kumfundisha...
Hii Serikali ya kitapeli sana walitudanganya kuwa ifikapo Oktoba 5 wangerudisha chaneli za ndani kwa visimbusi vya Azam, Star media na sahara lakini mpaka sasa kimya na hawatoi mrejesho.
Wana...
Tangu kupatikana kwa hati chafu katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji imekuwa kama ni fimbo kwa Watumishi wengi hasa kada ya Elimu kwa Walimu as if huo uzembe umefanywa na watumishi wa kada hii kwani...
Watumishi wa Idara ya afya wamegundulika kuwa hawana tabia ya kupima afya zao mara kwa mara licha ya kuwa mstari wa mbele kuwahudumia wagonjwa.
> Kutokana na mabadiliko ya mienendo ya maisha...
Dar es Salaam. Meneja Mkuu wa kiwanda cha mabati cha ALAF na wenzake watatu wamefikishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam kujibu mashtaka matatu likiwamo la...
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya aina fulani ya watu. It will be beneficial to any sober-minded people.
Najizuia kutoa brief ya Nabeel Qureshi (RIP) ili kwa mtu atakaeamua kujifunza kwake afanye...
Habari zenu wakuu,
Nimeitwa kwenye usaili utakaofanyika chuo cha kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere, je, hiki chuo kipo wapi? kwa hapa Dsm, mimi nipo maeneo ya Mbagala
Nilikua kigali week kadhaa zilizopita
Nilibahatika kwenda mpaka nje ya mji
Kiujumla rwanda nimekaa siku 9
Kiukweli tunavyotiana moyo na kudanganyana hapa jukwaani ni uwongo mtupu
Hakuna nchi...
Sisi wachimba wadogo wa madini ujenzi hapa babati tunaiomba serikali yetu itusaidie kusimamia taratibu na sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2010.
Kumekuwa na ongezeko kubwa la wachimbaji haramu...
Acacia Mining – Fraud, Criminal Dealings & Deception in President Magufuli’s Face.
Time for resignations at Acacia Mining & Barrick Gold
An open and public letter to Barrick Gold Chairman, John...
Habari wadau humu ndani juzi kati katika pita pita zangu humu niliona uzi ukisema tbc kufungwa mitambo mipya vipi mwenye mrejesho wowote ule kuna kilichobadilika?....Tbc ukweli na uhakika
Nawasilisha
Hi,
Mimi ni kijana na mwajiliwa mpya katika tasnia hii pendwa ya Ualimu,
Baada ya kupata post ya kuchaguliwa na TAMISEMI nilifurahi sana na kuandaa ATP kama zote ili kuendana na Kasi ya JPM...
Klabu ya Singida United hii leo imemtakia kilalagheri aliyekuwa nyota wake raia wa Zambia, Lubinda Mundia baada ya kuitumikia timu hiyo kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea klabu ya Red Arrows ya...
Forbes Releases Top 10 Richest Men in Tanzania for October, 2018 - Page 10 of 10
Mohammed Dewji is one of the youngest richest people in the continent of Africa at just 40 years of age.
He owns...
Waliokula kiapo wapo kibao tu katika siku mbili tatu hizi lakini huyu mmoja amechukua nafasi kwenye media karibu zote!kwa nini iko hivyo nataka kujua tu!
Watu wanne wafariki Dunia na mmoja ajeruhiwa katika ajali ya barabarani Mkoa wa Lindi katika kijiji cha Likahakwa, kata ya Kitomanga.
Kati ya watu waliofariki watatu ni wanawake na mmoja ni...
Nawaomba SUMATRA kuangali upya njia ya daladala zinazopitia Ilala mtaa wa Tabora,Lindi.Arusha,Ilala kuingia Uhuru mpaka Buguruni. Ombi langu mtaa wa Arusha Ilala ni mtaa finyu sana na ina watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.