muhala.jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 751
- 659
Habari...kumekua na trending news week hii kumuhuusu huyu jamaa was soud Arabia baada ya kuuwawa ndani ya ubalozi wa nchi yake uko turkey...lakini swali ni kwamba kwanini uyu mtu anafatliwa Sana baada ya kuuwawa ..mm cjui Zaid lakini nahisi ni Kama mtu was FBI au CIA ambae alipandikizwa ndan ya soudia ..Mana nashangaa mpaka mkuu wa FBI ametumwa kwenda kusimamia uchunguz na ghafla mwanae Salah anaenda USA....kwa anaejua atupe more details.