MTOTO YATIMA
Senior Member
- Jul 1, 2012
- 147
- 58
Slogan yetu ya ''Hapa Kazi" ni nzuri sana ina nia njema sana lakini kuna suala moja linajitokeza hapa, Lengo hasa la hyo kauli ni nn kama ni kwa ajili yetu tu sisi watanzania ni sawa kabisa mana sisi tunajua maana yake na kuitafsiri vyema lakini kama lengo lake ni kuonekana kimataifa bado kuna tatzo mana wengi hawatailewa, kwanini tu tusiendelee na " The pride of Tanzania" hii inatafsirika kirahisi sana na kila mtu na kama suala nikiswahili ambacho ama kwa hakika mimi ni muhumini wake basi tuite " Fahari ya Tanzania" hii itasaidia kukuza jina la Tanzania. Mawazo yangu tu. Kidumu chama chetu cha mapinduzi