KWA SISI WATIBELI MTOTO CHINI YA MIAKA SITA ANAFUNDISHIWA NYUMBANI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Iko hivi Sisi watibeli foundation ya mtoto ni miaka 0(akiwa tumboni) mpaka akifikisha...
Rio Frednand haja post taarifa yoyote kuhusu ziara yake nchini
Katika kufanya doria mitandaoni nimegundua Gen Z hawazuiliki,
Wamevamia page yake na kuandika Yale matukio ya mo29 n. K
Ni kama...
Bibi Hellen Bugoye (70) kutoka Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maboresho makubwa ya usafiri yaliyotokana na...
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027 leo Jumatano tarehe 20 Mei, 2026 , ambapo Wizara hiyo imeomba...
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikiwa kujenga kilometa 1,495.45 za barabara kwa kiwango cha lami pamoja na madaraja makubwa 18 ndani ya kipindi...
Sawa najua yako sikupangii matumizi, ila be present at the moment angalau itaonyesha utimamu wako.
Na ikikubidi omba udhuru kisha utarejea au kama hulitaki tukio usiende/usije/usishiriki...
Wanaookota Hadithi kwa Matamanio Yao Hawaujadili Uislamu kwa Uadilifu
Wapo watu wanaodai wanauchambua Uislamu, lakini ukiangalia namna wanavyotumia hadithi utaona wazi kuwa hawatafuti ukweli bali...
wana jf ningependa kujua kwa yeyote anaejuwa nini kinaendelea ktk mashauri yahusuyo isue ya kaine na mafsd kwani mala ya mwisho niliwasliana kainelugaba akasema wadai wake hawaendi court sasa...
Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso
Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Iring (IRUWASA) kuhakikisha katika kipindi cha mwezi mmoja...
Watu wengi wana ndoto kubwa.
Wanataka utajiri.
Wanataka maisha mazuri.
Wanataka kuheshimiwa.
Wanataka kubadilisha familia zao.
Lakini tatizo sio kwamba hawana uwezo.
Tatizo ni moja:
HAWAJUI...
Nilikuwa mmoja wenu nikafika level za juu.. Haikuwa rahisi nilikwepa mitego mingi na kuzishinda changamoto nyingi
Kuna jambo jipya kiasi linajiinua kwa kasi ya ajabu.. Mnahusishwa na mauaji...
1:Akili ni nini?
2:Akili inapatikana wapi,ikiwa maana kwamba mtu anazaliwa nayo au anaipata shuleni?
3:Ikiwa anazaliwa nayo,kwanini shuleni akifeli anaambiwa hana akili?
Ikiwa anaipata...
Leo vitu vingingi kama compyuta,s imu,t v, magari, mifumo ya umeme, mitambo ya viwandani, ndege, mifumo ya ulinzi inakuja ikiwa imewekwa software wakati huohuo ukiangalia hardware inajitosheleza...
Salute!
Nafahamu kwa sababu mbalimbali watu wengi tunapenda kuishi na dada wa kazi majumbani mwetu
Wapo watu wengi ambao wamekutana na Mikasa mbalimbali kutokana na dada hawa wa kazi.
Je ,ni...
Wakuu!
Nimekutana na tukio ambalo si la kawaida baada ya kurudi nyumbani na kumkuta mwenye nyumba wangu yupo ndani ya nyumba niliyopanga bila ridhaa yangu. Nilishangaa kumkuta akiwa ndani, na...
Hili si la wanawake pekee hata wanaume mnahusika katika kuhakikisha afya za watoto lazima kujua mtoto wenu anatumia lishe gani, je ina faa au bora asibe tu.
Kuna kautamaduni ka kuhisi lishe ya...
Mwana dada na mwanaharakati Mange Kimambi amewaambia Viongozi wa Chadema kuwa wanapotoka kupiga miziki na kucheza wakati wa mikutano
Hii haina tija ukizingatia wananchi wana majeraha ya kupoteza...
Naomba kujuzwa ,kwanini kesi ipelekwe kwenye mahakama ambayo haina uwezo wa kusikiliza kesi husika ?
Au utaratibu na protocol za kisheria ndio unataka hivyo. Naombeni wataalamu nisaidie majibu.
Nani anamchanganya huyu mzee? Ni AI generated lakini hadi rais wa nchi kubwa hivi anapost? Tf?
Source: https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116591901587847680