Kainerugaba Msemakweli na mafisadi wa elimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kainerugaba Msemakweli na mafisadi wa elimu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dr chris, Oct 21, 2011.

 1. d

  dr chris Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wana jf ningependa kujua kwa yeyote anaejuwa nini kinaendelea ktk mashauri yahusuyo isue ya kaine na mafsd kwani mala ya mwisho niliwasliana kainelugaba akasema wadai wake hawaendi court sasa mpaka sasa kesi ipo au iliisha? nimeshndwa ku comincate na mhusika kwani namba nilishapoteza kama kaine mwenyewe atanisoma bac ahusike pia
   
 2. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo msemakweli keshageuzwa msemauongo,njaa tu ilikuwa inamsumbua kapotea kimya,akikujibu hapa JF basi leo sio ijumaa!
   
 3. d

  dr chris Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we msemakweli uko wapi??! unakubali jina jipya la msm uongo? hebu lete ripoti kamili ni njaa kweli ilikuwa inasumbua? i am waiting 4 u now
   
 4. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,135
  Likes Received: 3,326
  Trophy Points: 280
  Fisadi mkubwa wa elimu najua wote tunamjua.
   
 5. Amalinze

  Amalinze JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2016
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 6,452
  Likes Received: 3,078
  Trophy Points: 280
  Serikali kama ina nia njema waende mbali na wale wenye masters na PhD feki aliowataja msemakweli nadhani Ben Saanane analifuatilia ili la PhD feki.

  List ya kainerugaba ina wazamivu na wazamili feki tuanze nao hao kisha nao waondolewe wasionee tu walala hoi hawa wa chini la saba 4m 4 na 6.
   
Loading...