Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kupima kwenu kwa macho kunawaponza mzungu sio mjinga kuweka vipimo sio kila homa ni malaria
3 Reactions
23 Replies
458 Views
Wanasema mwenge wa uhuru ni alama ya taifa yenye kuleta matumaini, mshikamano na kuhamasisha maendeleo. Pia huhamasisha mapambano dhidi ya maradhi, ujinga, umasikini, rushwa, na kuimarisha amani...
1 Reactions
0 Replies
123 Views
Kwa upande wangu nimefanikiwa kumpatia mke wangu ujauzito. Wewe je?
10 Reactions
32 Replies
435 Views
Umewahi kujiuliza kwanini kuna watu kila wakigusa jambo linafanikiwa, na kuna wengine kila wakijaribu wanagonga ukuta? Siri kubwa haipo kwenye bahati, bali ipo kwenye sumaku iliyojificha ndani ya...
10 Reactions
30 Replies
616 Views
Unajua, sehemu kubwa ya fahari ya jamii yoyote duniani hutokana na vitu walivyovibuni au kuviumba wao wenyewe. Waarabu walitoa mchango mkubwa kwenye mfumo wa namba, wazungu wameunda teknolojia na...
2 Reactions
7 Replies
206 Views
Vyuma hivi hata uvipake oil chafu haviwezi legea Chuma cha kwanza Kwa sisi tunaoishi uswahilini ni shule za msingi za serekali, hizi shule sasa wazazi tunawatumikia walimu bila kujua kibri hichi...
6 Reactions
43 Replies
545 Views
KanKanuni ya Kwanza Kutojihurumia Bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha; isiwe, nikiisha kuwahubiri wengine, mwenyewe niwe mtu wa kukataliwa. — 1 Wakorintho 9:27 Watu wengi ambao wamekuwa na...
2 Reactions
1 Replies
216 Views
Hili ni wazo tu,mamlaka zetu tukufu zione jinsi gani tutaweza kujiunga mitandaoni kwa kutumia NIDA namba,and then mtandao wenyewe uka translate jina la muhusika halisi hii itasaidia sana kuwabaini...
6 Reactions
17 Replies
250 Views
Mara ya mwisho nilikutana nae kwenye kijiwe chake cha wavuvi camp" fish point, huyu hakuwa Rafiki tu Bali alikuwa classmet wangu chuo kikuu. Tukiwa wavuvi camp,A.K.A Fish point uku tukiwa...
9 Reactions
55 Replies
751 Views
Nawashukuru sana Arsenal baada ya miaka 22 kusubiri hadi kuwa mabingwa wa kombe lenye hadhi kubwa ulimwenguni la EPL (ENGLISH PREMIER LEAGUE) Nimefurahi mnooooo! Arsenal imechukua ubingwa...
11 Reactions
30 Replies
432 Views
Baada ya taarifa kutoka Mwanza ya kuwa kijana ameuliwa na mabaunsa wa Bar, nimeona nitoe elimu kidogo ambayo haitolewi popote Hii ni elimu ya mtaa 1. Bar sio sehemu ya watu wanyonge. Ukijua wewe...
33 Reactions
266 Replies
4K Views
Mimi nafikiri ni mengi tumefichwa na tukaruhusu kufichwa zaidi Ila naamini hadi sasa mnaelewa mchawi wenu ni nani
3 Reactions
8 Replies
152 Views
Naona mambele wanajidunga na miili inapungua hakuna tena mambo ya mazoezi
0 Reactions
0 Replies
61 Views
Anonymous
Nachingwea tuna shida ya maji sana, yaani wapo kimya maji hayatoki, Almost two weeks sasa, Yaan yakitoka ni ndoo 6 yamekata. Nachingwea Kata ya Ugawaji maeneo ya Shule ya Msingi Majengo polisi...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
TCRA ndio inatulea hivi, wanao present mambo ya maana media zao zinapewa onyo na kufungiwa, haya sasa leo EFM wanahamasishana kuwa wakifika kwenye Marathon ya tarehe 20 June wakishamaliza kukimbia...
4 Reactions
16 Replies
382 Views
Mpendwa Rio, Kuwasili kwako nchini Tanzania kumeleta msisimko mkubwa sana miongoni mwa mashabiki wa mpira wa miguu kote barani Afrika. Kama nguzo ya michezo duniani, sauti na uwepo wako vina...
2 Reactions
1 Replies
233 Views
Assalam alaykum. Tujikumbushe fadhira za kuwatendea wema wazazi wetu Katika Uislamu, baada ya haki ya Mwenyezi Mungu ﷻ, hakuna haki kubwa kuliko haki ya wazazi wawili. Kuwatendea wema wazazi ni...
2 Reactions
0 Replies
149 Views
Nimepata safari ya dharula kwenda Tanga nataka nitumie usafiri wa basi kutoka hapa Dar kwenda huko. Kinachonishangaza ni kukosa huduma ya tiketi ya mtandaoni. Ina mana ukitaka kwenda Tanga...
5 Reactions
19 Replies
570 Views
Ila uchawa kazi jamaniii! sasa ilo jembe la ulaya limelima mashamba mangapi huko ulaya? Bado tutaona mengi ========== Wachezaji wa zamani wa soka wa Tanzania na wa kimataifa wamekabidhi jezi ya...
1 Reactions
5 Replies
204 Views
Wanajamvi habari zenu, Kama kawaida nikikutana na kitu kipya lazima nikileta hapa kwa faida ya wengine. Ni kwamba wiki iliyopita nilikuwa nimeomba mkopo wa milioni 30 hivi kwenye mojawapo ya...
17 Reactions
86 Replies
7K Views
Back
Top Bottom