Ni Nini Maana Ya Maisha Kwako? Na Utafanya Nini Ukipewa Nafasi Ya Kuishi Mwezi Moja? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Nini Maana Ya Maisha Kwako? Na Utafanya Nini Ukipewa Nafasi Ya Kuishi Mwezi Moja?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Superman, Jun 30, 2009.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Nawaona watu wanavyohangaikia maisha . . .

  Nawaona wana JF wanavyochangia mada mbalimbali . . .

  Naona jinsi heka heka za maisha zinavyoendelea . . .

  Na mengine mengi.

  Je, umewahi kujiuliza ni nini maana ya maisha? Umuhimu wake ni nini? Sisi ni nani hasa katika maana halisi? Na mwishoni kabisa . . . .

  Je, kama leo hii ungepewa notice kuwa una muda wa mwezi moja tu wa kuishi, ni mambo gani ungependa uyafanye?
   
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Maana ya maisha ni kuhangaikia maisha.
   
 3. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  LOL

  Mkuu, unaamini kuwa tumekuja kuhangaika tu?
   
 4. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  Nimewahi kusikia na kusoma sehemu mbalimbali watu wakielezea maisha . .

  Maisha Ni Vita

  Maisha Ni Safari

  Maisha Ni Karata

  Maisha ni Mapambano

  Maisha ni Milima

  Maisha ni Mchaka Mchaka

  Maisha ni Ufinyanzi

  Maisha ni Mchezo

  Maisha ni Kusaidiana

  Maisha Ni Kamari

  Maisha Ni Kuvumiliana

  Maisha Ni Zawadi

  Maisha Ni Kustarehe

   
 5. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kwa kuanzia, kila binadamu anavyokuja duniani amekuja akiwa na lengo/maana( with a purpose)
  Kazi kwa mtu ni kutafakari na kujaribu kulielewa hili na kuweka alama yake hapa duniani - iwe ni kwenye familia au jamii kubwa.Wengi wetu tunajikuta tupotupo tu... mradi kunakucha na maisha yanaendelea.Laiti mtu angejua ana hilo jukumu au dhamana nadhani kungekuwa na tofauti katika namna tunavyoishi hapa duniani.

  Kwa kujibu swali lako, kwangu mimi maisha ni kuishi katika namna ambayo nitaweka alama yangu duniani kiasi kuwa nikiondoka basi niwe sikuishi kihasarahasara.Niache a legacy hata kwa watoto wangu.
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Maana ya maisha ni familia yangu. They mean the world to me. Na siku nitakapo jaliwa kupata mke na watoto hao ndiyo watakuwa maisha yangu yote. The other things in life are just by the way. Kama WoS alivyo sema kila mtu ana purpose. If I live out God's purouae for me then I have lived life.
   
 7. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Maana ya maisha Kwangu ni kuishi vile inavyompendeza Mungu.
   
 8. N

  Nelsonmhema New Member

  #8
  Feb 14, 2013
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni vile unavoishi ndo maana ya maisha
   
 9. Nsame

  Nsame JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2013
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Ni kila kitu unachofanya na ukahic kinakufurahisha na hakipingani au kuvuka mipaka kisheria.
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2013
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mi nimeishi zaidi ya miaka 50 hadi leo sijui nafanya nini ndo sembuse mwezi mmoja...!??
   
 11. Amalinze

  Amalinze JF-Expert Member

  #11
  Feb 15, 2013
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 6,456
  Likes Received: 3,078
  Trophy Points: 280
  Maisha ni nyumba by mchechu NHC.
   
 12. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2014
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,749
  Likes Received: 1,782
  Trophy Points: 280
  hili neno maisha linawatesha watanzania vichwa utasikiaa

  1.maisha magumuu.....

  2.maisha yamempigaa.....

  3.anatafuta maishaa...

  4.maisha bora kwa kila mtanzaniaa

  5.ametokaa ki maishaa.....
   
 13. Pendael24

  Pendael24 JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2017
  Joined: Feb 13, 2014
  Messages: 1,807
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  kiuhalisia watu wengi hatujafahamu maana halisi ya maisha ninini, tulipotoka niwapi tupo hapa kwaajili gani na tunakoelekea ni wapi. kibaya zaidi elimu ya msingi tunayopewe haitupi majibu.
   
 14. Al-Watan

  Al-Watan JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2017
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,570
  Likes Received: 13,348
  Trophy Points: 280
  Nini maana ya maana?
   
 15. tejateja

  tejateja JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2017
  Joined: Feb 26, 2015
  Messages: 1,617
  Likes Received: 908
  Trophy Points: 280
  Maisha ni upendo wakweli.
   
 16. tejateja

  tejateja JF-Expert Member

  #16
  Jun 19, 2017
  Joined: Feb 26, 2015
  Messages: 1,617
  Likes Received: 908
  Trophy Points: 280
  Hatakama Wengine wanasema kuwa maisha ni kuacha legacy kuacha mali nyingi sana na urithi kwa wanao na vitukuu. Lakini kama hukuishi kwa upendo wakweli yote ni sawa na kujilisha upepo
   
 17. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2017
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Maisha= mapenzi+vita
   
 18. Nkuba25

  Nkuba25 JF-Expert Member

  #18
  Jun 19, 2017
  Joined: Nov 18, 2015
  Messages: 862
  Likes Received: 1,280
  Trophy Points: 180
  Love (upendo) is the meaning of Life.

  Ukiwa na roho ya upendo na ukampenda jirani yako kama nafsi yako, basi kwa namna hiyo utakuwa umekamilisha dhumuni la wewe kuwepo duniani.
   
 19. Tz mbongo

  Tz mbongo JF-Expert Member

  #19
  Jun 19, 2017
  Joined: Mar 12, 2015
  Messages: 2,238
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Na Mimi naomba kukuuliza.

  Je,hicho ulichokiuliza unakijua Au hukijui?
   
 20. Lizarazu

  Lizarazu JF-Expert Member

  #20
  Jun 19, 2017
  Joined: Aug 23, 2015
  Messages: 3,471
  Likes Received: 3,402
  Trophy Points: 280
  Hakuna maana halisi ya maisha.

  Ukiondoa neno uhai, ni ngumu kupata maana generally Bali ni wewe unavyoyachukulia
   
Loading...