Rais JPM, Kagame na Uhuru Kenyatta

moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
2,900
4,865
Najua unajua ila nakujuza zaidi....
Maraisi wa Tatu wa East Africa,
PAUL KAGAME
UHURU KENYATTA
JOHN P. MAGUFULI
Hawa wote wamezaliwa mwezi mmoja...MWEZI HUU WA KUMI...
BIRTHDAY zao pia zinapishana siku tatu tatu...
23OCT - KAGAME
26OCT - UHURU
29OCT - MAGUFULI

UMRI WAO WANATOFAUTIANA MIAKA MIWILI MIWILI KWA KUZALIWA...
1957 (Kagame)
1959 (Magufuli)
1961 (Uhuru)
TUMALIZE NA HII..
-Uhuru alichaguliwa 2013
-JPM alichaguliwa 2015
-Kagame amechaguliwa tena mwaka huu 2017
TOFAUTI IKIWA NI MIAKA MIWILI MIWILI....
 
mmoja akigoma kuachia madaraka, tutegemee mgomo wa marais wa East Africa.
 
Najua unajua ila nakujuza zaidi....
Maraisi wa Tatu wa East Africa,
PAUL KAGAME
UHURU KENYATTA
JOHN P. MAGUFULI
Hawa wote wamezaliwa mwezi mmoja...MWEZI HUU WA KUMI...
BIRTHDAY zao pia zinapishana siku tatu tatu...
23OCT - KAGAME
26OCT - UHURU
29OCT - MAGUFULI

UMRI WAO WANATOFAUTIANA MIAKA MIWILI MIWILI KWA KUZALIWA...
1957 (Kagame)
1959 (Magufuli)
1961 (Uhuru)
TUMALIZE NA HII..
-Uhuru alichaguliwa 2013
-JPM alichaguliwa 2015
-Kagame amechaguliwa tena mwaka huu 2017
TOFAUTI IKIWA NI MIAKA MIWILI MIWILI....
MuSIX vipi wa Ug?
 
Hivi wake zao wote hao hawaitwi Janeth? Na vp kuhusu professional za wake zao sio walimu wote?? nauliza
 
Hivi wake zao wote hao hawaitwi Janeth? Na vp kuhusu professional za wake zao sio walimu wote?? nauliza
Mke wa Uhuru Kenyatta sio Janet
Screenshot_20181027-101429.jpeg
 
Back
Top Bottom