Naima wazima.Niende kwenye hoja binafsi shughuli zangu nafanyia kkoo sasa kumekuwa na kero sisi watembea kwa miguu asbhi kuanzia kigogo to jangwani ukifika kuanzia club ya yanga utakuta makohozi mazito barabarani yaani mtu anabanja lile kohozi analitandika barabarani hupiti hatua kumi ni hivyo hivyo wengine ni mademu wakali lakini hovyo tu badilikeni bhana jana nimeshindwa kunywa supu kila nikijarbu kutoa image nashindwa.