Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

30 years now. Unafanya upuuzi uliofanya ukiwa na miaka 20. Unajirekodi faragha na bwanaako mkilambana ndimi kibwege. Unasambaza mitandaoni. Unasubiri uone mihemko ya watu, kisha unaita waandishi...
10 Reactions
63 Replies
13K Views
"Eeh Mwenyez Mungu Nakushkuru sana kwa kuweza kunipa ujasili na Moyo wa kuyavumilia yote niliyo yapitia. Asante sana Mh. Benard Membe, Joseph Kusaga, Haroun na Kampuni Nzima ya Spice, Mh Nchimbi...
1 Reactions
59 Replies
9K Views
Msaada wakuu mwenye uelewa wa pikipiki hz aina ya honda cbx twister 250....uimara wake na upatikanaji wake kwamaana ya bei yake..
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Habar wanajamvi? Ujumbe huu ni maalumu kwa Jeshi letu la Usalama wa Taifa,tu kama wewe sio usalama husisome hapa! Kwanza ndgu zangu wanausalama ninayo machache ningependa kushare na nyinyi! Kwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Zzk kakataaa kujibu swali kuhusu ndugu mzeee wa tanzanite /eti hawajibu takataka
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nawashangaa sana wachungaji wa KKKT hasa jimbo la magharibi DMP. Kwa mwezi mzima utsmuona kanisani mara 2. siku ya chakula cha Bwana na siku nyingine mwisho wa mwezi lkn huwa kazi ya kuhubiri neno...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Niko mbioni kununua hii gari kwaajili ya familia... Nimependa muonekano wake na pia injini ni ndogo cc 650 nitaimudu. Hofu yangu sijui chchte kuhusu hii gari. Msaada tafadhali kwa wajuvi wa mambo...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Nauliza hivi kwa Sababu nimeshuhudia maeneo mengi ya Dar es Salam yakitawaliwa na kiza kuanzia mwanzoni mwa wiki iliyopita. Kwa mfano majuzi maeneo ya Kigogo mwisho hayakuwa na umeme siku nzima...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kuna taasisi mbili za ajabu sana mkoa wa morogoro na ninawasiwasi na mishahara wanayolipwa sijui ni kwasababu ipi 1. TANESCO. Tanesco ni kinara wa kukata umeme kila ifikapo mda wa saa kumi na...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeona habari hii Barua ya ada yawatibua wamiliki shule binafsi Kila mara serikali inapojaribu ku regulate sekta hii kumekuwa figisu kwelikweli. Wamiliki wa shule hizi wanajua kuwa sekta...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Hivi nyie wa tanganyika kwani lazima muungano huu, nani kati ya wazanzibari na nyie munao taka muungano huu? Mbona viongozi wa uwamsho mumewaseka ndani Kwa msimamo wao wa muungano. Tunamwambia...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nawashangaa sana wachungaji wa KKKT hasa jimbo la magharibi DMP. Kwa mwezi mzima utsmuona kanisani mara 2. siku ya chskula cha Bwana na siku nyingine mwisho wa mwezi lkn huwa kazi ya kuhubiri neno...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
**Karibu mgeni, ukionacho humu ndani kiache humu humu ndani. Hivi wanaoweka hill bango katika nyumba zao huwa wanatufikiriaje sisi wageni wao.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Pamekuwa na kelele za haki kukiukwa na hawa wasimamia Sheria. Kumekuwa hata na dhana kuwa kada hii imekuwa ikipokea pongezi za dhati tokea viongozi achilia mbali mapungufu mengi ambayo sisi kina...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Kwa muda mrefu binadamu amekua akijiuliza maswali ama angependa kufahamu mambo yafuatayo: *_Nini chanzo cha uhai?_* *_Nani mwanzilishi wa ulimwengu?_* *_Dhumuni la kuishi ni lipi?_* *_Je kifo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Cheki bifu ya mzee mwenyewe 50 cent kwa hasimu wake ndio utajua kwamba mbele ni mbele tu bongo michosho, we wa uswazi eti unajifanya kumchukia mond au kiba na wakati hujawahi ingia ata show yake...
0 Reactions
4 Replies
828 Views
Rioba anadai wanafanya kazi kwa weledi arushe hyo pres kama yy kidume
0 Reactions
9 Replies
2K Views
We brotherhood tumekusanyika hapa kama kawaida yetu kukutana kila baada ya muda Fulani .. Tukiwa tunajadliana haya na yale maongezi yanalenga mafanikio tu na jinsi gani akaunti zinavyoendelea...
0 Reactions
2 Replies
728 Views
Leo hii nimesoma makala kwenye gazeti la Mwananchi ikiwa na kichwa cha habari Mtandao wa mirungi watikisa Moshi Kwanza nalipongeza gazeti la Mwananchi kwa kufanya uchunguzi kuhusu biashara ya...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Nazungumzia wale ambao utotoni hata kuvaa kiatu kizuri. Ilikuwa ni shida. , msosi mzuri mpaka sikukuu. Tukipata "maisha mazuri" huku ukubwani huwa hatuamini wengine wana shida mpaka tuone...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…