Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,713
Salama wote
Leo napenda niongelee japo kwa ufupi sana kwa namna gani Tanroads ndio chanzo cha foleni Hasa dar yenye magari mengi.
Sababu ninazo zitoa zinamwelekeo wa kiufundi hasa katika design ya barabara.
Wote tunakubaliana kwamba ujenzi wa barabara ni gharama sana ambapo kwa sasa km moja ya njia mbili inajengwa kuanzia Bil 1 za kitanzania.
Hivyo Tanroad wanatakiwa kujua ujenzi wao lazima uzingatie mahitaji ya sasa na upanuzi unaweo weza kutokea ili kupunguza kuharibu pesa za walipa kodi kwa kuhomoa mara kwa mara baadhi ya sehemu ambazo zimejengwa.
Sasa nije kwenye tatizo la foleni. Tanroad bado hamjaonyesha ujuzi katika ujenzi wa barabara ili kutimiza malengo ya ujenzi wa barabara za mijini ambayo ni
1. Kurahisisha magari kupita kwa haraka
2. Kupunguza foleni.
Katika kudesign barabara lazima haya mambo mawili yafikiriwe.
Tatizo ambalo nimeliona ni kwenye makutano ya barabara. Barabara nyingi kwenye makutamo zimekaa kama msalaba kiasi kwamba ni rahisi sana kuzibiana njia na magari kubaki yanasubiriana.
Kuna sehemu za makutano hata mtu asiye jua sana mambo haya kama mimi hapa unaona panahitajika round about kumaliza tatizo la magari kusubiliana lakini unakuta tanroad wamejenga msalaba kama kawa.
Nafikiri kuna haja ya kushirikisha taasisi nyingine za ushauri kiufundi kabla ya kuanza kwa ujenzi maana haileti maana kupaki gari kwenye barabara ya lami kwa sababu ya foleni zaidi ya saa 1 wakati barabara yenyewe hata mwaka haijamaliza.
Mifano ya barabara zinazo onekana desihn yake imezingua inakuja..
Tanroads hapa kazi tuu.