plainpaper
Member
- Oct 12, 2018
- 71
- 60
Jamani huku mtaani hali tete sana,
1. Biashara imekuwa ngumu sana, mauzo yameshuka kwa zaidi ya 60%
2. Kuna watu wanapita bila huruma wanadai kodi za halimashauri (services levy)
Naomba kuuliza hivi kweli uchumi ndo unakuwa hivi? Na wanadai kwa nguvu zote, hilo halitoshi Loan board nao wanatembelea hata vibanda vya mchicha kutafuta wanaodaiwa, sijakaa sawa naambiwa kama nina malimbikizo ya kodi nilipe haraka kabla maodita hawajota DSM maana wakija hao ni balaa.
Nyie watumishi wa serikali hasa (TRA na watu wanaohusika na Maswala ya kodi) mungu anawona ila kumbukeni mkistafu mnakuja huku mtaani.